JK anapokuwa kwaya masta. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK anapokuwa kwaya masta.

Discussion in 'Jamii Photos' started by Indume Yene, Jul 6, 2012.

 1. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  [​IMG]

  Do-le-mi-fa-so-to-di-le.....
   
 2. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,655
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Huyu kilaza anaongea pumba tu hapo!
   
 3. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Unapomsikiliza JKilaza kwa makini basi ujue hata ubongo wako una matatizo. Hao so called viongozi nao wanamsikiliza tu huyo JKilaza......na wao pia ni.....
   
 4. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Yan mi huwa sina hata mzuka wa kumwangalia huyu jamaa
   
 5. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hapo nimepaenda sana aiseee
   
 6. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #6
  Jul 7, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,655
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  JKilaza! Haah haaaah haaa. nimecheka sana.
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  Jul 7, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nchimbi hawezi kuwa na executive bag! Mifuko ya cement ni aibu
   
 8. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #8
  Jul 7, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  Ngoja wawekezaji wa madini wamletee zawadi. Boss wake akinunuliwa suti huwa hawaombei subordinates wake walau mabegi na vests?
   
 9. paty

  paty JF-Expert Member

  #9
  Jul 7, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,259
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  aisee Indume Yene umeniacha hoi JKilaza ,
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Wilbert1974

  Wilbert1974 JF-Expert Member

  #10
  Jul 7, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 1,607
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Yaaani weee acha tuuu! Nimecheka mpaka nimepaliwa mate!:nerd:
   
 11. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #11
  Jul 7, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,932
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  .
  Kwani Mkuu paty inamaaana ulikuwa hujui kuwa ni kilaza au? ...

  Yeye hana vision ya kuwa nchi ifikie hatua gani baada ya miaka fulani

  Hajui ni kwa nini Tanzania ni maskini? ... mpaka leo?

  Anaacha rasilimali za kuendeleza Tanzania hapa nchini anaenda Ulaya kuomba chandarua!

  Anakwepa kuyafanyia maamuzi magumu masuala yenye umuhimu kwa Taifa ...

  Anasubiri watendaji watende kwanza ... alafu yeye anaangalia upepo ... ukibadilika anasema mimi sikumtuma! ... mara aaah hata mimi nashangaa kwa nini wale waliamua vile ...

  Anatakiwa awe a real man ... as Real men are responsible, honorable, and do what needs to be done.

  A real man makes decisions. Sasa mkuu paty lini umesikia huyu bwana ana-make decisions ngumu? ... inatakiwa iwe ‘yes' or ‘no' but it is one of the two. Indecisiveness (ambayo inamsumbua sana) is not a quality of the real man..

  A real man takes responsibilities for his actions. Whatever the consequences are of his decisions, he deals with them. He does what needs to be done without question.

  Mkuu paty huyu jamaa hata hajui kuwa there are certain things that are unpleasant but these things need to be done... (tena ukiwa kama President) ... sasa yeye anakwepa majukumu ... sasa mtu kama huyu si ndio hao vilaza kweli kama alivyosema Mkuu Indume Yene
   
 12. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #12
  Jul 7, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Nyie Hapo juu ndo woote Vilaza.
   
 13. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #13
  Jul 7, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,655
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  " Mbwa ukimjua jina hakupi shida" JKilaza ni kilaza tu katoa duplicate zake Mwanaasha na Madame B!:israel:
   
 14. paty

  paty JF-Expert Member

  #14
  Jul 7, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,259
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  kamanda Dotworld ni ukweli usipingika Mr dhaifu mambo yamemuwia magumu ukizingatia yeye anaendeshwa na kundi ambalo bado natafakari ni akina nani , binafsi nakubali JKillaza ameshindwa kutoa maamuzi magumu, ambayo yangemfanya aingie kwenye historia, wala rushwa alisema anawajua, ikaishia plae, dowans, oooh siwajui , wakati walishatajwa hadharani, mapadre na madawa hoo nawajua, matukio ya namna hii yanaonesha dhahiri huu jamaa ni kiongozi na namna ipi, mi nafikiri pressure toka makundi tofauti ya kijamii itasaidia kumshape huyu jamaa as long as yeye mwenyewe hana dira wala falsafa katika kuongoza kwake
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #15
  Jul 7, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Unaweza kuta hata anachokisema hapo hakichekeshi ila wadau imebidi wacheke kumfurahisha tuu.
   
 16. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #16
  Jul 7, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  And u r 'among of us Gwangambo.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #17
  Jul 7, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Hao wote wanaomsikiliza ni wachumia tumboni!! Wote ni vikaragosi vyake!!
   
 18. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #18
  Jul 7, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  JKilaza = Hayawani, firauni ... endeleza
   
 19. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #19
  Jul 7, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,655
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Liwalo na liwe.
   
 20. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #20
  Jul 7, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Nchimbi amezoea kunyonga kuchinja hawezi!!! Mifuko ya rambo ndio utamaduni wa kwao kama vile wakwere kucheza kiduku!!!!
   
Loading...