Anaekufa anasubiri? unamkumbuka yule Mzee aliyesema hafi mpaka CCM ife? nilisema humu Jf kuwa anajichuria kifo.
Tafadhali futa kauli yako na usijichurie. Na muoombe Mwenyeezi mungu wako akufikishe hiyo 2015. Usitabiri kifo cha mwenzako wakati wewe mwenyewe hujijui saa moja ijayo kama utakuwepo.
we ndg yangu niambie vua gamba ilikuwa ni kutekeleza ilani gani ya ccm? Au na wewe umekurupka?yaaani kuna watu wana upeo mdogo sana wa kuona na kung'amua,chama kilichopo madarakani ndio chenye serikali so hakiwezi kukimbilia kwenye operesheni kama za chadema na cuf kwakua kinatakiwa kitekeleze ilani yake ili 2015 wakawaambie wananchi extent ya mafanikio na what real happened.Opereshenizenyewe hizi za kunung'unika na kuropoka unadhani ndio suluhisho kwa matatizo yetu?subiri 2015 tupige kura tutajua nani atakufa na kwahakika atakaeshindwa awe CCM awe CDM ndio atakua kafa ivo
Vyama vingi tu viliishakuwepo madarakani Afrika hii na sasa havipo,hivyo havikuwa na wenye akili sawasawa kama hicho cha kwenu?,lakini siku zote swara la kufa maji lazima liendane na kutapatapa.Wapo viongozi wenu waliowahi sema mchana kweupe kuwa upinzani ni vyama vya msimu, na ukiwauliza sasa wakili hilo hadharani itakuwa balaa,sisi tunawatakieni safari njema ya huko walipo UNIP,KANU,UPC CONGRESS n.k.yaaani kuna watu wana upeo mdogo sana wa kuona na kung'amua,chama kilichopo madarakani ndio chenye serikali so hakiwezi kukimbilia kwenye operesheni kama za chadema na cuf kwakua kinatakiwa kitekeleze ilani yake ili 2015 wakawaambie wananchi extent ya mafanikio na what real happened.Opereshenizenyewe hizi za kunung'unika na kuropoka unadhani ndio suluhisho kwa matatizo yetu?subiri 2015 tupige kura tutajua nani atakufa na kwahakika atakaeshindwa awe CCM awe CDM ndio atakua kafa ivo
we ndg yangu niambie vua gamba ilikuwa ni kutekeleza ilani gani ya ccm? Au na wewe umekurupka?
Anaekufa anasubiri? unamkumbuka yule Mzee aliyesema hafi mpaka CCM ife? nilisema humu Jf kuwa anajichuria kifo.
Tafadhali futa kauli yako na usijichurie. Na muoombe Mwenyeezi mungu wako akufikishe hiyo 2015. Usitabiri kifo cha mwenzako wakati wewe mwenyewe hujijui saa moja ijayo kama utakuwepo.
Mi naomba ushauri. Nijiunge na chama gani kati ya hivi viwili, CCM au CDM? Zomba nishauri maana najua wewe kwa umri ulio nao una busara sana kuliko hawa vijana wa juzi.
Pia nijuze nikijiunga na CDM nitapata faida gani kama mzawa?
Nikijiunga CCM itanifanyia nini kabla ya 2015?
Kwa hiyo unampa ujumbe Jk asitabirie watu kifo sio?
Mimi ninachofahamu ni kwamba mgonjwa anayezungumzia kifo ujue siku zake za kuishi zinahesabika. JK anajua kabisa ndani ya moyo wake kuwa anaongoza chama mfu ambacho muda wowote kitapelekwa motuary na baadaye kuzikwa. Pumzika kwa amani CCM. Karibu CDM.