M mharakati JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 1,271 Reaction score 392 Oct 18, 2011 #21 wahindi watarudi na nguvu mamvi akiingia, hivi utakulaje na watu halafu ukipata cheo ujifanye mkali? haiwezekani
wahindi watarudi na nguvu mamvi akiingia, hivi utakulaje na watu halafu ukipata cheo ujifanye mkali? haiwezekani
K KUNYWA Member Joined Sep 30, 2011 Posts 32 Reaction score 0 Oct 18, 2011 #22 jamani,anamuenzi kwa kupiga picha na wasanii wanaotamba duniani kama 50Cent na wengineo kila mara atokapo nchini kuelekea Marekani
jamani,anamuenzi kwa kupiga picha na wasanii wanaotamba duniani kama 50Cent na wengineo kila mara atokapo nchini kuelekea Marekani