Elections 2010 JK anaelekea kuchukua form Lumumba

TzPride

JF-Expert Member
Nov 2, 2006
2,616
1,167
Jamani kwa wale ambao mko maofisini na barabarani maeneo ya city centre....along Ohio str...usumbufu mnaoupata sasa na kele za mafisadi wakijani ni JK anaelekea kuchukua form. Kwani si wangemtumia kwa email tu? Usumbufu huo wote wa nini?
 
Wakituma kwa email imprest ya Tshs. 300M wataretire vipi? Angalizo: Hizi ni kwa zile zinazotoka serikalini. Za chama hazina marejesho!
 
Haya tena huko nje ni CCM namba wani:director:! Slaa alipokwenda kuchukua fomu kuna jamaa aliuliza kama haikuwa kampeni...hili la leo je? Na watu wamekaa foleni kuwapisha wapite! Ama kweli! Wakifanya wengine watu wanachonga wenye nchi Je? Wao wameruhusiwa kuanza Kampeni?:shock:
 
Jamani kwa wale ambao mko maofisini na barabarani maeneo ya city centre....along Ohio str...usumbufu mnaoupata sasa na kele za mafisadi wakijani ni JK anaelekea kuchukua form. Kwani si wangemtumia kwa email tu? Usumbufu huo wote wa nini?

Niko naangalia Star TV Live kweli ni usumbufu mkubwa kwa msafara ninaouona, ila ndio namna ya Ku-justify mamilioni ya fedha za walalahoi
 
Najaribu kupunguza kushangaa yanayotokea. Maana mavuvuzela yanajulikana kwa kutesa walalahoi
 
Watu wa ccm bwana manjoooooonjo kweli kweli! Eti anaenda kuchukua fomu.......msilalamike saaana hizo mbwembwe zitaisha miezi inahesabika.
 
Hillarious...eti wangemtumia kwa e-mail, you just made my day!

Khaa! kwani hana email ya kiofisi pale ikulu? Wanatuma halafu anafungua anajaza na anattach na kuwatumia...angeepusha usmbufu huo wote.

Angalia sasa....nasikia ving'ora huko nje...magari yamesimamishwa tena!. Hivi hamuoni tunapta mihasara ya kufa mtu kwa jambo la kipuuzi tu?
 
Tanzania kwa ushabiki - basi hapo watu wooote uliowaona Dodoma watafuata msafara, ilimradi tu ushabiki. Oh, na usiwasahau wazee wa CCM wa jiji la Dar es Salaam
 
Alafu uliza budget ilotengwa kwa akili hiyo bse apo am sure kuna mambo ya chakula cha jioni
 
Anaenda kuchukua fomu za nini? JK mbona umekuwa msaliti? Juzi uliniahidi utamuunga mkono Dr. Slaa kwa maslahi ya umma na maendeleo ya nchi kwa ujumla.

Leo nini kimukukumba tena? Nani kakushurutisha kwenda kuchukua fomu?
 
Khaa! kwani hana email ya kiofisi pale ikulu? Wanatuma halafu anafungua anajaza na anattach na kuwatumia...angeepusha usmbufu huo wote.

Angalia sasa....nasikia ving'ora huko nje...magari yamesimamishwa tena!. Hivi hamuoni tunapta mihasara ya kufa mtu kwa jambo la kipuuzi tu?

Nina wasi wasi kama anajua namna ya ku-attach huyu jamaa..
 
Anaenda kuchukua fomu za nini? JK mbona umekuwa msaliti? Juzi uliniahidi utamuunga mkono Dr. Slaa kwa maslahi ya umma na maendeleo ya nchi kwa ujumla.

Leo nini kimukukumba tena? Nani kakushurutisha kwenda kuchukua fomu?

Jamaa msaliti sana huyu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom