masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 17,906
- 13,211
Duhu, muislam 1, wakiristo 3,
Watu kama hawa wanapekua sehemu zao nyeti kujua dini yake!
Duhu, muislam 1, wakiristo 3,
Tayari ameshakuwa naibu Waziri Wizara ya Fedha Mkuu!!! Kazi ni kujuana tu, atashirikiana na Janet Mbene!!!
..mama ni kutoka Zanzibar.
..alikuwa Commisioner wa External Finance wa ZNZ.
..labda anakwenda wizara ya fedha.
Jokakuu nakuaminia mkuu duh yaani ulivyosema ndio hivyo hivyo ...........big up mkuu
observant eeenh? kaaz kweli kweli!!
Namtabiria U-Naibu waziri wa fedha