acha udini!
hilo neno lako ulilotia rangi kamwambie mtei
acha udini!
it shows how unorganized he is!na mawaziri tutegemee kimafungumafungu hivyohivyo,babu wa kusikilizia upepo,kweli nazi kazi yake jikoni sio ofisini
infact hili ni tatizo kubwa la hizi teuzi......maana kila anaeteuliwa anaona kapewa ulaji na sio jukumu kwa umma....matokeo wanakua wanafanya kazi kishkaji na kulipana fadhila.......we leo mtu from no where anateuliwa...kesho anakua waziri....no vetting system...matokeo yake wengine wana under perform....kwasababu they were not prepared for this....ni kama mtu kashinda lotto yaani......au kapata madini mererani....wengi huishia ku blunder....only in TZ yaani...Haya mambo ya kuteuliwa uwaziri bila confirmation ya kamati husika za bunge na bunge zima kwa ujumla ndiyo yanasababisha kupata mawaziri kama Sophia Simba!
Rais JK amemteua Bi. Saada Mkuya Salum kuwa mbunge mpya leo hii
KIKWETOMICS: HUU NI UTARATIBU MPYA NCHINI WA UENDESHAJI UCHUMI ULIOBUNIWA NA CHAMA CHA MAPINDUZI KATIKA HARAKATI ZAKE KULETA UCHUMI UNAOPAA ZAIDI ANGANI
Huku nyuma duniani tuliwahi kusikia utaratibu wa uchumi unaoitwa kama REGANOMICS na leo hii hapa hapa nyumbani kwetu kumebuniwa aina mpya ya uendeshaji uchumi bila hata ya wataalam wa mchepuo huo kushtukia kitu: KIKWETOMICS.
Huu ni mfumo mpya wa kuhamisha rasilmali zote hai na mfu kwenda ng'ambo, kuendelea kufanya utafiti angani bila kutua na kualika maswahiba wa kila aina kushiriki kula zaidi huku ajira zikigandishwa kwenye friji, wanakijiji kuwa wakimbizi katika maeneo yao na wanafunzi vyuo vikuu kuendelea kutunishiwa mikopo hewa katika kila chuo nchini.
Kama hilo halitoshi; utaratibu huu mpya wa uchumi hivi sasa inaegemea zaidi kwenye ndoto za gesi, mafuta pamoja na madini huku ukulima wa matunda na maziwa tukiagiziwa mazao yake toka kule jangwani Ghuba ya Mbali kwa kuwa wakulima wetu nchini wameonekana kuongezeka ushamba na kutostahili kupewa pembejeo wala kuboreshewa masoko.
Hiyo ndio aina ya uchumi tunayoifuta; wakati ambapo serikali haina fedha za kuletea wananchi maendeleo hapo ndio muda mwafaka wakuongezea mzigo zaidi walipakodi kwa kuitana na maswahiba kwenye karamu kula pamoja. Na hiyo ndio aina ya uchumi inayojulikana kama KIKWETOMICS.
KIKWETOMICS ya kisasa; punguza garama ya kuagiza mafuta toka ng'ambo huku ukiongezea walipakodi mzigo 100 zaidi ya faida yanayotazamiwa kupatikana kwenye kuagiza mafuta kama shehen a moja kwa taifa zima. Nguvu mpya, ari mpya na kasi mpya sasa ielekezwe zaidi kwenye kutandarua baraza kubwa zaidi la mawaziri maani hiki kipindi cha lala salama kila swahiba lazima ale kabla hatujaondoka ofisini.
Zidumu fikra sahihi za Mwenyekiti.
Hongera Mwalimu Caren. Tumwombee ateuliwe kuwa waziri labda atakukumbuka kwenye bodi moja ili upate ulaji hapa mjini.
alikowachomoa wale wenzake :A S wink:Nchi hata kulipa mishahara ya wafanyakazi inashindwa,leo tunapeana ubunge usio na tija,kazi kweli kweli.Huyu Saada naye sijui kamchomoa wapi.Mmm.
..mama ni kutoka Zanzibar.
..alikuwa Commisioner wa External Finance wa ZNZ.
..labda anakwenda wizara ya fedha.
kwani wabunge ni maimamu wa misikiti?Duhu, muislam 1, wakiristo 3,
Duhu, muislam 1, wakiristo 3,
CV yake ikoje?
Mkuu mbona hujakitaja CHADEMA?? au hicho hakipo kwa list ya kuteua wabunge??
Rais JK amemteua Bi. Saada Mkuya Salum kuwa mbunge mpya leo hii[Kvp hapa hebu nisaidieni wajameni kamrplace nan?]