Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,240
- 44,487
Kwa nini JK ateue karibu kila mtu???
hakuna vyombo vingine vya kuteua?
Rais Kikwete amemteua Jaji Fakihi Jandu kutoka Mahakama Kuu Iringa kuwa Jaji Kiongozi mpya kuchukua nafasi ya Jaji Salum Massati ambaye ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa.
Jaji Jandu alikuwa Wakili wa kujitegemea kama mwaka mmoja uliopita hadi alipoteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu na sasa kuwa Jaji kiongozi.
MKJJ nilikuwa nina swali especially kwenye highlight nyekundu...Je ulimaanisha kuwa Jaji Faki Jandu alikuwa wakili hadi mwaka jana ndio akapewa ujaji mkuu
na mwaka huu(sasa) akapewa ujaji kiongozi? Je ina maana chini ya mwaka mmoja amepanda ngazi zote mbili toka alipokuwa wakili wa kujitegemea?
If thats the case nina mashaka na madhumuni ya teuzi hizi....Tangu huu mtiririko wa kina Hosea,DPP na Chenge bila kusahahu mkemia mkuu.
Samahani kama nimetoka nje ya mada ila kuhusu hilo la Jaji kiongozi lina utata hapo kwenye kasi ya kupandishwa vyeo.
Mzee Mwanakjj
Unaweza kupata CV yake ukaitundika hapa?
Kuelewa vyeo hivi ni lazima uelewe mtiririko wa mahakama zetu ulivyo..
a. Mahakama za Mwanzo
b. Mahakama za Wilaya
c. Mahakama Maalum (kama Mahakama ya Kazi, Biashara n.k)
d. Mahakama Kuu (ziko kikanda hizi) na hapa pia kuna mtiririko wa Mahakama ya Kuu ya Zanzibar
e. Mahakama ya Rufaa (ndiyo Mahakama Kuu ya Jamhuri ya Muungano ambapo kesi zote za rufaa iwe Zanzibar, Bara, au Majeshi zinatolewa uamuzi wa mwisho ambao hukumu yake haiwezi kukatiwa rufaa mahali pengine popote).
sasa: Mahakama za Chini zinaongozwa na Mahakimu na wa juu kati yao anakuwa ni Hakimu Mkuu Mkazi (maarufu kati ya mahakama hizo za chini ni hiyo ya Kisutu ingawa mahakama za Hakimu mkazi zipo mikoani vile vile kwa kadiri ninavyojua).
Mahakam Kuu ina majaji wengi na ndiyo chombo ambacho kinasimamia haki na watu wengi wanaujuzi nao katika maswala ya kawaida. Mkuu wa Majaji wa Mahakama Kuu ndiyo anaitwa Jaji Kiongozi, kutoka kwa Jaji kiongozi ndio utakutana sasa na namba za majaji mbalimbali kama tunavyozifahamu.
Kikatiba Majaji wa Mahakama Kuu hawatakiwi kupungua 15!
Majaji wa Mahakama ya Rufaa wako juu ya Majaji wengine kwa hiyo mtu akitoka Ujaji wa Mahakama Kuu (kama Jandu) na akipewa Mahakama ya Rufaa siyo uhamisho tu bali ni kupanda cheo.
Huyu jamaa ni dini gani vile....!! Maana teuzi za Muungwana bwana hufanyikia Jamatini ...Jaji Fakihi Jandu
Huyu jamaa ni dini gani vile....!! Maana teuzi za Muungwana bwana hufanyikia Jamatini ...
Huyu jamaa ni dini gani vile....!! Maana teuzi za Muungwana bwana hufanyikia Jamatini ...
Huyu jamaa ni dini gani vile....!! Maana teuzi za Muungwana bwana hufanyikia Jamatini ...
Rais Kikwete amemteua Jaji Fakihi Jandu kutoka Mahakama Kuu Iringa kuwa Jaji Kiongozi mpya kuchukua nafasi ya Jaji Salum Massati ambaye ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa.
Jaji Jandu alikuwa Wakili wa kujitegemea kama mwaka mmoja uliopita hadi alipoteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu na sasa kuwa Jaji kiongozi.
Huyu jamaa ni dini gani vile....!! Maana teuzi za Muungwana bwana hufanyikia Jamatini ...
If you keep on thinking like this for sure uwezo wako wa kufikiri utaendelea kupungua siku hadi siku, think big!