Jk amezunguka dunia kuliko hata vasco dagama

Jk amezunguka dunia kuliko hata vasco dagama

PayGod

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2008
Posts
1,259
Reaction score
64
Jamani hivi ni kweli jk amezunguka dunia kuliko vasco dagama ?
 
... J
icon1.gif
k amezunguka dunia kuliko hata vasco dagama
Jamani hivi ni kweli jk amezunguka dunia kuliko vasco dagama

Swali???...Taarifa?... au ni nini?
 
tujuze kwanza Umbali ambao Vasco Da Gama wa kale alizunguka dunia, kisha tufananishe na umbali ambao Vasco Da Gama wetu ametumia bila kuzungumzia athari za Technolojia.
 
Hilo ni swali amabalo linahitaji ufafanuzi, kwa maelezo zaidi tafuta kitabu Kilichoandikwa na MSEMA KWELI cha UFISADI WA ELIMU
 
Hilo ni swali amabalo linahitaji ufafanuzi, kwa maelezo zaidi tafuta kitabu Kilichoandikwa na MSEMA KWELI cha UFISADI WA ELIMU

UFISADI WA ELIMU NA SAFARI ZA JK/VASCODAGANA ...wapi na wapi?
 
Sasa VG na JK wana uhusiano gani? Mmoja alikuwa anatembea kwa jahazi na mwengine kwa ndege, masafa yatayopigwa hesabu ni tofauti kabisa.

Vile vile kama alivyoainisha mdau hapo juu VG na elimu ni wapi kwa wapi? Hata hicho kitabu cha Msemakweli kimeshindwa kuunganisha hivyo vitu viwili.
 
Hilo ni swali amabalo linahitaji ufafanuzi, kwa maelezo zaidi tafuta kitabu Kilichoandikwa na MSEMA KWELI cha UFISADI WA ELIMU

SASA kama kijitabu cha mafisadi wa Elimu kinakupa majibu , sasa unauliza nini.....? jisomee mwenyewe kisha furahia majibu yake.
Vasco Dagama wa kizazi hiki amezunguka kwelikweli, ila wewe uliekuja na thread hii umeshindwa kuleta hoja yakujadiliwa....Ndo maana PJ AKAULIZA ...."SWALI , Taarifa ama Nini ???/
 
Yawezekana bwana mkubwa ndio Vasco Da Gama wa karne hizi
 
Jamani hivi ni kweli jk amezunguka dunia kuliko vasco dagama ?

tujuze kwanza Umbali ambao Vasco Da Gama wa kale alizunguka dunia, kisha tufananishe na umbali ambao Vasco Da Gama wetu ametumia bila kuzungumzia athari za Technolojia.

Hilo ni swali amabalo linahitaji ufafanuzi, kwa maelezo zaidi tafuta kitabu Kilichoandikwa na MSEMA KWELI cha UFISADI WA ELIMU

wewe jibu unalo mwenyewe....sijui unataka watu waseme nini zaidi :angry:
 
Sina appetite kabisa na thread hii isiyo na mwelekeo!
 
Hainipi nguvu kuchangia hapa hata kama mara nyingi sipendezwi na mambo ya K'wete, kwa thread, I'm not touched!
 
kwani mmelazimishwa kujibu jamani, mngenyamaza kimya au kumjibu mdau kistaarabu tu
 
Ishu sio kuzunguka dunia........

Ishu ni kuwa jk perhaps ndio the most travelled president in short time in the world.........
 
mkulu anataka kuingia kwenye kitabu cha guiness world of records hili avutie watalii nchini kwa kuwa raisi wa kwanza kusafiri nchi nyingi kuliko yeyote duniani akiwa madarakani.

tumpe mda faida ya hizi safari tutaziona atakapopewa tuzo yake jinsi watalii wakavyokuja.mpeni kura wadanganyika afanikishe lengo lake kubwa.
 
Back
Top Bottom