Mapolomoko
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 1,751
- 422
hahaha,wanyarwnda bana mnahaha sana..
hamujui kiswahili mnalazimisha,.
siku nyingne usisema TURIVYO sema TULIVYO,na pia usiseme MUSINGI sema MSINGI..
mi niwa A/KUSINI,ngoni harisi
hahaha,wanyarwnda bana mnahaha sana..
hamujui kiswahili mnalazimisha,.
Siku nyingne usisema turivyo sema tulivyo,na pia usiseme musingi sema msingi..
mi niwa A/KUSINI,ngoni harisi
Wewe wa wapi sema wewe ndiye unashabikia hilo swala usiwalishe watu maneno yako,Hakuna mtu anayeshabikia swala la kagame labda wewe na slaa tu.Wa TZ turivyo wepesi kusikia, kushabikia, na niwepesi kusahau, tumesahau mambo ya msingi kama, Gesi, katiba, uonevu manyanyaso tunayo yapata kutoka kwa Polis na NK., sasa tunashabikia uhasama wa KGM na JK, utafikili nasisi tutabeba siraha kupigana
hahaha,wanyarwnda bana mnahaha sana.. hamujui kiswahili mnalazimisha,. siku nyingne usisema TURIVYO sema TULIVYO,na pia usiseme MUSINGI sema MSINGI..
Hahaa, ila kweli jinsi alivyoandika ni typical watu wa kule Kigali, penye 'el' wanaweka 'arr'. Umemwotea huyu lazima atakuwa ana asili ya kule hata kama anaishi TZ kwa sasa. Lakini Nawewe kaka usiseme HAMUJUI, sema HAMJUI!!Kiswahili ni lugha inayohitaji utulivu wa nafsi!!
ani ninavyoandika hiyo hamujui nilikua nawaza yeye angeandikaje kwa bahati mbaya nami nkaandka hivohivo
Heeeeeeeheeeeeee,
kiswahili kweli kigumu,
Mkuu sio Hivohivo, ni hivyo hivyo,
[SIZE=4 said:Mapolomoko[/SIZE];7067812]Wa TZ turivyo wepesi kusikia, kushabikia, na niwepesi kusahau, tumesahau mambo ya msingi kama, Gesi, katiba, uonevu manyanyaso tunayo yapata kutoka kwa Polis na NK., sasa tunashabikia uhasama wa KGM na JK, utafikili nasisi tutabeba siraha kupigana
Warwanda akili yao kama ya rais wao kagame wanapata tabu kujikosha kweli.