Hii nchi sasa inazidi kuzama hadi mambo muhimu watu wanayafanyia mchezo? Swala la Rais kuhutubia Taifa kwanini Ikulu watoe taarifa kwa nyombo vya habari na kukaa kimya hadi muda huu? Udhaifu mwingine huu
pole sana hakukuwa na aina yoyote ya hotuba watu tulikaa mpaka saa 6 usiku tukisubiri kidogo ndoa zivunjikeKamahakuhutubia nikwanini na kama alihutubia,alizungumza nini? Naomba kujuzwa maana niliko nivigumu kupata habari wakuu!
akigoma tunaagiza rais kutoka nje ya nchi