JK alishinda uchaguzi TZ. Keshaapishwa kuwa Rais. Nchi zote zinamtambua kwamba ni Rais wa TZ.
Watanzania tuache majungu yasiyo na msingi. Siasa za vijiweni hazijengi nchi, Let's Move On.
Ni ujinga kukaa na kuandika ktk Facebook, JF, kwamba JK ajiuzulu kwa sababu chama fulani hakikushinda. Ni ujinga kumlaumu Rais kwa matatizo yote ya nchi.
Kumbuka,Nchi haijengwi na mtu mmoja. Uchaguzi ushapita, Let's Move On.
Kweli Kichwa Kinaweza Kumsababishia Binadamu Matatizo. Kikwete Alishindaje Uchaguzi? Nani Alisimamia? Nani Alitangaza Matokeo Yake? Nani Walikuwa Wajumbe? Wakati wa Uchaguzi, JK Alijiuzuru au Alikuwa Kazini? Haya Maswali ni Kuhusu Uchaguzi. Ok Turudi Nyuma Tanagu Jk Aingie Madarakani,Vitu Vingapi Vimetokea JK Akiwa Ikulu Kama Raisi wa TZ? Wananchi Wangapi Walipata Ajira? Mafisadi Wangapi Wapo Jela na CCM Wangapi Wameadhibiwa? Dowans Wanalipwa Kwa Sababu Gani? Richmond Alisaini Nani Mkataba? Kwa Manufaa ya Nani? Jk ni Kiongozi Kichwani Mwako? Kama Jk ni Kiongozi, Tupe Vision Yake ya Taifa la TZ....I am Feel Sorry for Being Like This.