JK Alishinda Uchaguzi, Watanzania Move ON | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK Alishinda Uchaguzi, Watanzania Move ON

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by John10, Jan 15, 2011.

 1. J

  John10 JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2011
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JK alishinda uchaguzi TZ. Keshaapishwa kuwa Rais. Nchi zote zinamtambua kwamba ni Rais wa TZ.
  Watanzania tuache majungu yasiyo na msingi. Siasa za vijiweni hazijengi nchi, Let's Move On.
  Ni ujinga kukaa na kuandika ktk Facebook, JF, kwamba JK ajiuzulu kwa sababu chama fulani hakikushinda. Ni ujinga kumlaumu Rais kwa matatizo yote ya nchi.
  Kumbuka,Nchi haijengwi na mtu mmoja. Uchaguzi ushapita, Let's Move On.
   
 2. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #2
  Jan 15, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  haina tija
   
 3. H

  Haki JF-Expert Member

  #3
  Jan 15, 2011
  Joined: Jan 14, 2009
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  WTZ wachache hawajui maana ya demokrasia. JK ndiye Rais, wataka, wasitake.
   
 4. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #4
  Jan 15, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  sasa huo ni ubabe coz nguvu ya umma ikikataa hakuna jinsi.
   
 5. l

  limited JF-Expert Member

  #5
  Jan 15, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 300
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  move on kwa kipi sasa? no electricity, no ennogh jobs, cost of living high, people are still stealing from the goverment, etc etc tell me waht to move on!!!!!
   
 6. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #6
  Jan 15, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Sijui kama kuna mtu anataka ajiuzulu kwa sababu chama "fulani" hakikushinda.

  Hata yaliyoko ndani ya uwezo wake asilaumiwe, sasa alishinda uchaguzi ili afanye nini? awe rais wa picha?

  Kwani kuna mtu ametaka JK ajenge nchi peke yake?
   
 7. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #7
  Jan 15, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Kwani kuwa Rais ni sawa na kuwa mfalme?
   
 8. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #8
  Jan 15, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,269
  Trophy Points: 280

  MJINGA NI WEWE NA VITEGEMEZI WAKO, NA****** USIINGILIE UHURU WA WATU KUTOA MAONI YAO, UKITAkA HABARI NZURI ZA JK TOKA HUMU NA KWENYE MITANDAO YOTE MAKINI, HALAFU UWE UNASOMA MAGAZETI YA UHURU NA MZALENDO BILA KUSAHAU HABARI LEO NA RAI NA MTANZANIA. ****
   
 9. U

  Unstoppable JF-Expert Member

  #9
  Jan 15, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,049
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  This will only be possible if he can take care of his responsibilities, and handle sensitive issues in a manner that is acceptable. Otherwise he will keep receiving pressure from all angles. A good leader address issues and not run away from the them. It is high time for him to realize he is not leading a house hold or ward, he is leading a nation! We are in high alert now more than we have ever been! :mod:
   
 10. U

  Unstoppable JF-Expert Member

  #10
  Jan 15, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,049
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kweli cha moto anakiona naona ameshindwa hata kwenda London imebidi Balozi aje Tanzania kumuona. Mr President you can run but you can not hide. Maswali mazito yanakusubiri ukitoa mguu tu hapo airport. Mwaka huu hakuna kulala!
   
 11. H

  Haki JF-Expert Member

  #11
  Jan 15, 2011
  Joined: Jan 14, 2009
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nguvu ya umma ni kura zilizopigwa na WTZ. Na ktk hizo kura, ni JK ndiye aliyechaguliwa na WTZ.
   
 12. D

  DENYO JF-Expert Member

  #12
  Jan 15, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 699
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  nadhani wewe ndio mjinga fikiri kwanza kabla ya kuandika

  1. Rais anatakiwa na umma kuwafikisha wauaji waliokiri kuua arusha -mahakamani kama alivyomfikisha zombe kufanya hivyo ni kuheshimu utawala wa sheria. Akikaa kimya manake yeye ndio aliwatuma kuua raia waliokuwa wakitumia haki yao kikatiba na ni double standard kama zombe alifikishwa mahakamni vipi hawa? Unataka watu wasiandike wewe zezeta kweli -yaani *****

  2. Dowans ni matapeli matupu -unataka watu wasiandike wakati tunamgao tusiojua utaisha lini wakati mawaziri wake mweyewe wanapingana? Hivi kweli wewe una akili kuita wenzio wajinga?

  3. Katiba mpya -imeruhusu uchakachuaji na kura kutangazwa kwa mabomu, imeruhusu mafisadi kuongoza nchi halafu unataka watu wasiandike hivi kweli wewe ni mtanzania? Nyamafu mkubwa wewe

  4. Mikataba na ufisadi wa hali ya juu-unataka watu wasiandikae -unataka wafanye nini huku nchi inaangamia wewe kima? Bora usiandike ishu mbovu kama hii nadhani kila atakayekujibu atalazimika kutumia maneno makali.
   
 13. H

  Haki JF-Expert Member

  #13
  Jan 15, 2011
  Joined: Jan 14, 2009
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha Rhetoric,. Ukweli ni kwamba, kura zilizopigwa na WTZ ktk uchaguzi wa 2010. Na ktk hizo kura, ni JK ndiye aliyechaguliwa na WTZ.
   
 14. M

  Mnyagundu Senior Member

  #14
  Jan 15, 2011
  Joined: Oct 3, 2008
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JK ajiuzulu kwa sababu gani? Ameshinda uchaguzi na yuko imara! Wanaosema ajiuzuru wanatumia ubongo ulio kwenye makalio kufikili na bila shaka ni wazee wa maandamano pipozi pawa! Hovyo kabisa!
   
 15. H

  Haki JF-Expert Member

  #15
  Jan 15, 2011
  Joined: Jan 14, 2009
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna institution ambayo ndiye yenye mamlaka ya kupeleka watu mahakamani na si Rais. Acha Rhetoric fuata sheria za nchi. Si kazi ya Rais kupeleka watu mahakamani.
   
 16. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #16
  Jan 15, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  [
  [/QUOTE]

  To move on, what does it mean? Ndio watu wana move on hapo kwa kumtaka awajibike, U-rais ni ofisi ya Umma, ni Ofisi ya Wa-Tanzania wanahitaji ofisi ya yao, wewe unasema uchaguzi umeisha!(Kwani nani kakwambia watu wanaongelea uchaguzi, au nawe umeziba masikia na ubongo umeganda! kama barafu; watu wanataka kusonga mbele ku-move on wanaona yeye kalala, kasinzia, ndio maana wanamwambia aondoke) unashanganza sana, kusema kuwa ni ujinga kumlaumu Rais juu ya matatizo yote ya Nchni hii, unataka alaumiwe nani? Makamu wake! Waziri Mkuu! Mkewe! au Rais wa Uganda!! kama kashindwa haondoke wapo wanaoweza kufanya hiyo kazi, Kwani uliwai kusikia kuwa watu walimwambia Mwinyi ajiuzulu! lau kuwa aligombea na kivuli alifanya kazi kwa kadri ya uwezo wake watu waliheshi, Mzee Mkapa pia hulisikia anaambiwa jiuzuru la! alijitahidi wananchni walimuelewa, sasa huyu wako katota kalowa hamna kitu kwanini unakata wenye ofisi wasiulize anafanyanya nini? Ndugu yangu John wa Kumi ni vyema ujue kuwa matatizo yote ya nchni mtu wa kwanza kulaumiwa ni Rais, ndie tunaye mkabidhi nchni yote kusimamia Utawala, Ulinzi, Maendeleo, Ujenzi, Uhai wa wananchni, Mstakabali wa taifa kwa vizazi zijavyo; hayo mambo yakiyumba Lazima alaumiwe tena naye ajilaumu kama ni Mstaharabu mara nyingi uomba msamaha na kutoa maelezo juu ya kujikwaa kwake, sababu na mpango mkakati wa kusonga mbele.

  We angalia swala kama la Arusha! kama ni kweli Viongozi wa Chadema hawa kuwa na vibali vya Kufanya mkutano, kuna haja ya kuwashtaki kwa kosa la kufanya ,Mkutano bila kibali baada ya kuuwa Raia!! Kwani kama wana-ushahidi wa kukosekana kwa vibali Kwanini wasimkamate Mbowe na Dr. Slaa kesho yake Baada ya Mkutano, kujibu tuhuma ya kufanya Mkutano bila kibali? SiMWEMA ambaye kapewa mamlaka ya kulinda Raia anauwa Raia, alafu Rais hamuwajibishi! wananchni hamchagui IGP wanamchagua Rais, kama hawezi kuteua IGP anayejua wajibu wake ni Lazima Wenye-nchni wamwambie ondoka tena nami naongezea aondoke haraka sana. Nimewai kusikia Polisi wakitoa elimu ya Uraia kuwa Mkikamata Vibaka Msichome moto ni kosa na kinyume na Haki za Binadamu, wapelekwe Polisi ili haki ipatikane Mahakamani, sasa wao mbona wana uwa kwa silaha za moto, wamesahau kuwa silaha hizo zina-nunuliwa na fedha za hao wanaowaua! tunasema aondoke ameshindwa hatuoni kama tunaenda mbele, tunaona tunarudishwa njuma.
   
 17. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #17
  Jan 15, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  That's all you got?Kura alizopewa..kura alizopewa!
  Uwajibikaji wake uko wapi?Maana tangu ameanza awamu ya pili hajafanya lolote..matatizo tu yanaongezeka moja baada ya jingine!Kama "amechaguliwa" kwa faida yake binafsi basi tutaacha kusema ila kama yupo kwa faida ya Watanzania atasemwa sana maana mpaka sasa hivi hajafanya lolote kuwafaidisha Watanzania!
   
 18. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #18
  Jan 15, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Rais Mwizi, who cares kama alivyoiba kura na sisi tutamwondoa tu atake asitake. Mwambieni aangalie Tunisia yanayojiri hivi sasa. We are sick and tired na mauzauza yake apeleke Chalinze
   
 19. Monstgala

  Monstgala JF-Expert Member

  #19
  Jan 15, 2011
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 135
  Kwani Tanzania ni ya JK peke yake au wananchi wote wa Tanzania? Sisi tumemwajiri atuongozee hii nchi lakini wenye nchi ni sisi wananchi. Move on? twende wapi? Tunataka nchi iongozwe kama tulivyokubaliana(Kikatiba) mambo yakienda kombo ni wananchi ndio wanaumia so unapoleta issue zako za kumove on they can be properly applicable to your family unless you wanna pay our bills!
   
 20. D

  DENYO JF-Expert Member

  #20
  Jan 15, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 699
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Naamini kabisa mwenye Rhetoric na ubazazi ni wewe tena ubongo wako ni mgando na uko kwenye ******, -nani aliyetoa amri ya akina zombe na wenzie wakamatwe? watu wamekiri wameua kwa risasi -ni wajibu wake kuhakikisha sheria inachukua mkondo wake -nani anatoa amri ya kumkamata mwema aliyetoa amri zote arusha, au nani atoe amri ya kumkamata chagonja aliyekiri jana kuwa polisi ndio waliua? na tena wameua mbeya na bado wataua tena-sasa unataka nani atoe agizo kama sio yeye??? walifikishwa mahakamani viongozi wa chadema, vipi wauaji umesikia wapi wamefikishwa mahakamani? VERY RHETORIC -remove your mental slavery.
   
Loading...