Elections 2010 Jk alisema: HAKUNA WIZI WA KURA!

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,880
2,758
Naanza kumwamini jk. Kwa jinsi matokeo yanavyoenda, hakuna uchakachuaji! Bravo! Angalau wameshindwa hata kama walidhamiria
 
Naanza kumwamini jk. Kwa jinsi matokeo yanavyoenda, hakuna uchakachuaji! Bravo! Angalau wameshindwa hata kama walidhamiria

Tuombe hali iendelee hivyo maana umeme unaweza kuzimwa nchi nzima na hali kuwa tete.
 
naanza kumwamini jk. Kwa jinsi matokeo yanavyoenda, hakuna uchakachuaji! Bravo! Angalau wameshindwa hata kama walidhamiria

kuchakachua lazima...lakini tatizo kura za slaa zimekuwa nyingi sana
 
Naanza kumwamini jk. Kwa jinsi matokeo yanavyoenda, hakuna uchakachuaji! Bravo! Angalau wameshindwa hata kama walidhamiria

Unamwamini?? wamebanwa tu maana kila wakitaka kuiba wananchi wanawakamata, wataiba kule maeneo wanakotoka lakini haitasaidia kitu..
 
Naanza kumwamini jk. Kwa jinsi matokeo yanavyoenda, hakuna uchakachuaji! Bravo! Angalau wameshindwa hata kama walidhamiria

Dr Slaa alisema wananchi walinde kura zao na hicho ndio kimetokea na matokeo hadi hivi sasa sio mabaya kwa wapinzani. Jamani tuendelee kulinda kura popote mlipo hakuna kulala. Shukrani za dhati lazima ziwaendee wale wote wanaoitakia Tanzania mema na uamuzi wa wapiga kura uheshimiwe.
 
Hakuna uchakachuaji au watu wanalinda kura wewe?
Hayo maboksi yaliyokamatwa ni nini?
Au hao waliokuwa wanapiga kura mara tatu tatu si ni uchakachuaji huo?
Sema pamoja na wizi huo jeshi la chadema ni kubwa ndiyo maana wanamezwa ndani pamoja na wizi wao!
 
Mnisome vizuri hapo juu. Pia nawapongeza vijana wanaolinda kura kwani kazi yao ni adhimu!
 
kuchakachua lazima...lakini tatizo kura za slaa zimekuwa nyingi sana

Songea mjini wanadai kwamba matokeo hadi kesho asubuhi. Nadhani hapa mawakala wawe makini sana ikiwezekana kulala yatakapohifadhiwa masanduku ya kura, vinginevyo mchezo utachezwa
 
Hata mm i trusted now his words, JK alisema ukweli hakuna uwizi wa kura kwa hili amesema, let's wait hadi kesho matokeo zaidi
 
Kwa matokeo haya wakichakachua kura zitazidi million 19 waliotudanganya ndo idadi ya voterz...!
 
Hata wangetaka kuiba...

Haiukuwa tu kati ya zile siku...amabazo wizi ungekuwa upande wao...!!

Hata wizi uliwakataa ....!
 
Naanza kumwamini jk. Kwa jinsi matokeo yanavyoenda, hakuna uchakachuaji! Bravo! Angalau wameshindwa hata kama walidhamiria
Mkuu kwa ripoti zilizotufikia ni kwamba uchakachuaji ulikuwepo big time. ila bahati yao mbaya sehemu nyingi walikamatwa na sehemu nyingi kura zao za uchakachuaji hazikufikia kura za kweli.
 
Songea mjini wanadai kwamba matokeo hadi kesho asubuhi. Nadhani hapa mawakala wawe makini sana ikiwezekana kulala yatakapohifadhiwa masanduku ya kura, vinginevyo mchezo utachezwa

Wananchi tayari wanashangilia mitaani na kuna taarifa zinasema kuna jamaa wa chama cha kijani wameamua kupiga mawe magari yanayobeba maboksi ya kura...
 
Back
Top Bottom