JK akirekebisha Tai ya Lowasa.

JK akirekebisha Tai ya Lowasa.

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,030
Reaction score
59,684
Picha inaongea kila kitu ImageUploadedByJamiiForums1387132484.822144.jpg
 
JK hawezi kamwe kusema neno baya kwa Lowasa
 
Jk na lowasa hawakukutana barabarani ni chanda na pete...lowasa ndiye rais ajaye 2015 migro pm..membe kashatupwa kapuni
 
Mazungumzo:
EDO:"Karibu sana muheshimiwa!"
JK: "Asante....bwana mdogo unaniabisha, unataka kwenda Ikulu hata kufunga tai kunakushida?..tehe tehe teh"
EDO: "the teh teh...dogo acha hizo wewe, kwanza hiyo suti yako ndio ile zawadi kutoka kwa yule mwarabu?"
JK: "Aaaa..yale mjungu tu ya wamerekani"
EDO: "Poa mkuu, yule mama wa nini tena? Hawezi kuniwekea kauzibe yule?"
JK: "Usiwe na shaka, ile danganya toto tu....tulivyokubaliana ndivyo itakavyokuwa"
 
kwenye siasa hakuna adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu
 
ha ha wanafiki wamekutana kweli ccm chama chakavu lowasa kushinda uraisi ni ndoto za kichaa kujenga ghorofa angani
 
Back
Top Bottom