JK akikagua vijisenti vya sie walalahoi

JK akikagua vijisenti vya sie walalahoi

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,473
Reaction score
757
GO9G4590.JPG

Anaonekana akiwaza " Duh aisee pesa zikiisha shurti u-print zingine, maisha bora kwa kila Mtanzania..."
 
Hana dili yeye na makaratasi yake...Ananikumbusha Mugabe alitengeneza hela,hadi sasa ameishia kutumia dola za Marekani utazani na Zimbabwe ni jimbo la USA.
 
sa sijui na hizi watazichakachua kama mimi nilivyofanya?
 
mafeki yapo kibao mpaka bank wanatoa eti hawana mashine ya kugundua noti feki
 
Hivi serikali inaona ugumu gani kuondoa hizo noti kwenye mzunguko kama kweli zina matatizo?

Pia mabenki na wananchi kwani nini wanaendelea kuzitumia kama zina matatizo?

Watu wagome kuzitumia.
 
Usiombe ukanyeshewa mvua huku ukiwa umeweka hizo noti "mpya" kwenye mfukowa shati lako jeupe
 
Hivi serikali inaona ugumu gani kuondoa hizo noti kwenye mzunguko kama kweli zina matatizo?

Pia mabenki na wananchi kwani nini wanaendelea kuzitumia kama zina matatizo?

Watu wagome kuzitumia.
Mafisadi watakula wapowakiondoa hizi noti?
 
Back
Top Bottom