JK YOU MUST BE SERIOUS ....KAMA RAIS HUTAKIWI KUCHIMBA MKWARA ..ooh nawafahamu ..maafisa waovu..HUNA HAJA YA KUMBEMBELEZA MTU ..KAMA UMESHAJIRIDHISHA WEWE TOA TAMKO KUWA WANASTAAFISHWA KWA MANUFAA YA UMMA...USIJEUKAISHIA TENA KUFUKUZA KAZI WATU KWA MAKOSA UKABAKI UNAUMIA...
KUMBUKA WANANCHI BADO WANA KUMBUKUMBU YA WALE WALIOKULA PESA WAKARIPOTIWA NA CAG[CONTROLLER AND AUDITOR GENERAL]..UKASEMA SIKU ZAO ZINAHESABIKA NA HADI LEO HUJAFANYA LOLOTE...
RAIS NI CHEO KIKUBWA SANA ....KAULI YAKO NI SHERIA NDOGO,...AU HUJAJIAMINI KWAMBA WEWE NDIO RAIS....
Mkuu PM,
Kikwete bado anaplay kati ya uwaziri wa mambo ya nje na urais.
Au kwa lugha mpya ya JF, Kikwete bado ana-vascodagamarize hii dunia for the second time! Kila siku anasema kuwa ana list ya wala rushwa, wauza madawa, mafisadi, na kamati zinaundwa kila siku kuchunguza kile ambacho kamati zingine zimeshindwa kupata kutoka kwenye original tume ya kuchunguza uundwaji wa kamati na tume teule... gooosh I need a drink!
Mkuu PM,
Kikwete bado anaplay kati ya uwaziri wa mambo ya nje na urais.
Siyo mambo ya nje tu hila naona anafaa kwenda kutoa Lectures pale Chuo cha diplomasia. Mtu anaushahidi tosha kuwa siyo waaminifu anakuja kutwambia nini wananchi kuwa atarusha kombora.
Kinachotakiwa siyo maigizo ni utendaji tu basi, anatakiwa awaondoe mara moja bila kulalamika kwa wananchi.
kwi kwi kwi kwi,
chuo cha diplomasia, yaani inabidi tu nichukue my lunch break mapema hapa! Mimi nadhani Kikwete anafaa amfuate Lowassa kwenye chuo cha sanaa na maigizo kule Lindi or somewhere unkown!
ni kweli pamoja na mananasi na mafenesi yenu wewe na mwenzako !
mbuzi katoliki mbona anapanda tu kwangu sijui kwa wengine !
Kada hacha bwana kututoa kwenye mada.
Suala ni kwamba hivi Muungwana kuna haja kweli ya kutwambia kuwa anajua watendaji wanafanya mchezo mbaya? Mbona alisha twambia anajua wauza unga, je kuna nini kilichofanyika? Je na hawa itakuwa hivi, mimi nafikiri rais mzuri ni yule anayepata ushahidi anareact mara moja.
Vinginevyo ni usanii!
lakini kama utamjudge wakati hakutoa time frame that will only back fire !
Mimi huwa nachukia sana watu ambao hawajari muda. Unajua Tanzania ni nchi masikini sana pamoja na raslimali tulizo nazo na pia ni nchi tegemezi omba omba(Refer EL, 2007 na dependence ya bajeti kwa donars).
Sasa JK aliona hilo na akaja na Usanii wa Kasi mpya na nguvu mpya, wananchi wakashangilia sana.
Sasa akiona madudu na muda unakwenda anakuja kutwambia na wewe unatwambia time frame, je mtu akitoa hukumu kuwa fulani ni msanii utetezi utaupata wapi?
Kada acha bwana kututoa kwenye mada.
usiwe na shaka ndiyo kazi yake siku hizi... I'm getting used to it..