maoniyangu
Member
- Jul 9, 2011
- 53
- 4
Wana JF,
Habari za uhakika toka ndani kabisa zinasema kwamba JK ameita mkutano wa waandishi wa habari kesho asubuhi pale Ikulu. Hii ni wazi kwamba baraza la mawaziri litatajwa hapo. Hii ni uhakika kabisa.
Nawasilisha
Mbunge wa tabora wa kuteuliwa na raisi
Tatizo ikiwa hukumu kama ya kule singida basi inaonekana iko sawa lakini ikiwa kama hii ya huku tabata basi inakuwa tabu sana. Tujifunze kuheshimu maamuzi yanayotolewa na vyombo vyetu vya sheria hata kama maamuzi yaliotolewa hayajatufarahisha. Sheria ni sheriaYaani hujui kwamba ilikuwa inasubiliwa hukumu ya leo tu ili waendeleze sanaa zao, na kama hujui Makongoro anapewa Uwaziri kamili na sio unaibu.
............hamna hiyo kitu.....yeuwii itabidi tuingie msituni
Mara kwa mara navutiwa na jinsi majirani zetu Kenya wanavyoendesha mambo yao ya utawala hasa baada ya kupitishwa katiba mpya.
Kwa sasa kuna zoezi linaloendelea la kuwachuja yaani "kuwa-vet" majaji 44 na mahakimu zaidi ya 300 wa mahakama za Kenya.
Leo hii nimekuwa nafuatilia kwa karibu jinsi wanavyomfanyia "vetting" jaji mwanamama Koome wa mahakama ya kuu.
Kwa nini nasi tusiige mazuri haya hapa nchini kwani kwa hali ninayoiona mahakama zetu haziminiaki mbele ya umma.
Mchujo wa majaji utatuhakikishia tuna watu wanaofaa na kustahili kusimamia utoaji na usimamizi wa hak,i mahakamani. Kuna hisia za wazi kwamba zipo "pro-government" na haziko kamwe huru.
Wakati umefika tuachane na uteuzi usiowazi majaji tulionao kwa sasa. Nashangaa mtu alikuwa wakili kwa muda mrefu kesho anakuwa jaji! Au tu ni msomi wa sheria tu anateuliwa jaji!
Hii si sawa kwa maoni yangu majaji watokane na mahakimu wazoefu wanaokidhi vigezo vya uteuzi. Hii itasaidia kuwa na majaji makini na wenye uzoefu pia.
Tuwe makini na hili vinginevyo mbele giza nene!
Tatizo ikiwa hukumu kama ya kule singida basi inaonekana iko sawa lakini ikiwa kama hii ya huku tabata basi inakuwa tabu sana.
Tujifunze kuheshimu maamuzi yanayotolewa na vyombo vyetu vya sheria hata kama maamuzi yaliotolewa hayajatufarahisha. Sheria ni sheria
Tatizo ikiwa hukumu kama ya kule singida basi inaonekana iko sawa lakini ikiwa kama hii ya huku tabata basi inakuwa tabu sana. Tujifunze kuheshimu maamuzi yanayotolewa na vyombo vyetu vya sheria hata kama maamuzi yaliotolewa hayajatufarahisha. Sheria ni sheria

Mkuu wangu nakubaliana na wewe watu wanadhani sheria za nchi zipo kwa maslahi ya Chadema...wanasahu kuwa mahakama zinaendeshwa na sheria ambayo ni taaluma sio maneno ya mitaani.
Member Array
Join Date : 6th November 2009
Posts : 49
Rep Power : 439
Likes Received15
Likes Given25
Makongoro Mahanga Kusema tujiandae kushangilia tarehe 02/05/2012 tafsiri yake nini?
Wana JF, leo katika pitapita zangu hapa Arusha nilikuwa kwenye hoteli ya New Arusha hotel ambako mh. Makongoro Mahanga alikuwa amefikia na ka small house kake.
Katika mazungumzo yake na Mh. Bernard Murunya (EAC elect MP) kwenye miida ya saa tisa hivi mchana, akawa ana mwambia kuwa amejiandaa vipi na kushangilia hiyo siku ya tarehe 02/05/12. Nikajiuliza siku hiyo kunanini, kumbe kulikuwa na jamaa kwa pembeni yangu alikuwa akifuatilia hayo mazungumzo ndipo akaniambia ndiyo siku ya hukumu dhidi ya ubunge wake. Nilijiuliza maswali mengi kama hii ndiyo aina za mahakama zetu kweli tumekwisha. Mengi yanayo fanyika mahakamani ni drama tu kwa walala hoi lakini si kwa wakubwa na isitoshe watawala.
I was shocked and very disappointed to hear this news na nikaona niwashirikishe wana JF wenzangu mtoe maoni yenu.
Nisingependa kumhukumu Makongoro japo yeye tayari inaonekana ana nakala ya hukumu kwa hiyo kauli yake lakini wengi wetu tulikuwa tunafuatilia hizi kesi lakini kati ya kesi zote, ya Mahanga imekaa vibaya kuliko ya mbunge yeyote.
Nawasilisha!
You, fredmlay, Daudi mchambuzi and 3 others like this.
Reply Reply With Quote
labda waziri wa nchi ofisi ya rais in charge of tume ya mipango
Ni vigumu kwa Lipumba
kuingia, kwa sababu si mbunge. Na hata akiteuliwa kuwa mbunge it means
Bunge la dharura liitishwe ili aapishwe (ubadhirifu wa pesa posho kwa
wabunge wote). Ni vigumu,, ongeleeni watu wengine
Nyinyi ndugu zangu mna moyo kweli.
Mbunge wa tabora wa kuteuliwa na raisi
Member Array
Join Date : 6th November 2009
Posts : 49
Rep Power : 439
Likes Received15
Likes Given25
Makongoro Mahanga Kusema tujiandae kushangilia tarehe 02/05/2012 tafsiri yake nini?
Wana JF, leo katika pitapita zangu hapa Arusha nilikuwa kwenye hoteli ya New Arusha hotel ambako mh. Makongoro Mahanga alikuwa amefikia na ka small house kake.
Katika mazungumzo yake na Mh. Bernard Murunya (EAC elect MP) kwenye miida ya saa tisa hivi mchana, akawa ana mwambia kuwa amejiandaa vipi na kushangilia hiyo siku ya tarehe 02/05/12. Nikajiuliza siku hiyo kunanini, kumbe kulikuwa na jamaa kwa pembeni yangu alikuwa akifuatilia hayo mazungumzo ndipo akaniambia ndiyo siku ya hukumu dhidi ya ubunge wake. Nilijiuliza maswali mengi kama hii ndiyo aina za mahakama zetu kweli tumekwisha. Mengi yanayo fanyika mahakamani ni drama tu kwa walala hoi lakini si kwa wakubwa na isitoshe watawala.
I was shocked and very disappointed to hear this news na nikaona niwashirikishe wana JF wenzangu mtoe maoni yenu.
Nisingependa kumhukumu Makongoro japo yeye tayari inaonekana ana nakala ya hukumu kwa hiyo kauli yake lakini wengi wetu tulikuwa tunafuatilia hizi kesi lakini kati ya kesi zote, ya Mahanga imekaa vibaya kuliko ya mbunge yeyote.
Nawasilisha!
You, fredmlay, Daudi mchambuzi and 3 others like this.
Reply Reply With Quote
... eti huyu huyu Makongoro Mahanga (na yale madhambi yake yote NHC) sasa ndiye Waziri mpya wa Fedha huyu, my foot!!!
Hili ni baraza lililoshindwa hata kabla ya kuwekwa wazi hewani. Wizi wa maboksi ya kura hadi kuhamisha kabisa hazina ya taifa pale Benki Kuu huyu jamaa.
kwani yeye mbunge wa wapi?