JK aingia Moro,umeme wazimwa mji mzima

JK aingia Moro,umeme wazimwa mji mzima

Chilakale kwa habari za mtaa ni ya wananchi ni ya familia ya jk. Huo mradi unaanzia hapo barabarani mpaka kule mlimani mataa yapowaka usiku km ikulu na wameficha magari ya kitalii mapya takribani 20 tokea ujenzi ulipo anza. Majengo yanafumuka km uyoga na kununua ardhi kwa hela nyingi sana na kuhamisha makazi ya watu. Swali haya mahela wameyatoa wapi kwa fujo hivi. Na je huo mradi kunamadhuni gani maaan kuna tetesi wanataka kujenga uwanja mdogo wa ndege maeneo ya kule chilakale resort. Watu wa moro huko matombo na milima ya uluguru hakuna madini huko hawa mafisadi wanaweka miondombinu ya kitu flani si buree. Ila tutafika mwishooo tuuu.....
 
Jaribu kificha ujinga wako. Hivi wewe toka loni mtu akazoea shida? Toka lini Jk akaa kwenye giza??? Na walisha sema giza mwiko Tz iweje umeme ukatwe usingizie kaja kuona shida au kaja kukagua miradi ya familia ili asionekane
KWA hiyo na wewe mzee wa full mabusara unaamini umeme umekatwa ili JK aweze kukagua hiyo miradi vizuri?! Ina maana wakati hiyo miradi inajengwa ilijengwa wakati wa giza hata JK aone taabu kukagua wakati wa mwanga?! Kwani akisema anakagua maendeleo ya sekta binafsi Morogoro nani atampinga hadi wafikie kuzima umeme?!
 
Kwani kukatika umeme si
ndio hali halisi ya miji yetu? Amekuja ili ajionee hali halisi ya
wananchi wa Morogoro na kukatika umeme ni sehemu ya huo
uhalisia...

Akishamaliza kuuona huo uhalisia anaenda Ulaya kubadili damu. Je, kubadili damu kunasaidia kutatua tatizo la umeme?
 
Wadau mji wote wa Morogoro hauna umeme kuanzia saa mbili usiku huu,na rais yupo mkoani hapa kwa ziara ya kikazi!watu wengi wamehusishwa ukatwaji huu umeme na ukaguzi wa miradi kama ya Chilakale resorts na mingineyo iliyopo hapa mkoani Morogoro inayohusishwa na familia ya Mh chini ya usimamizi wa Riz moja na majina fake mengine,kama Mbena Marumbi wa Chilakale e.t.c

Huyo rais aliyepo morogoro ni rais wa wapi? Nijuavyo Tanzania hakuna rais kuna mpangaji tu anaishi pale magogoni mkataba wake ukiisha ataondoka jumla. Hatu-renew mkataba
 
Wadau mji wote wa Morogoro hauna umeme kuanzia saa mbili usiku huu,na rais yupo mkoani hapa kwa ziara ya kikazi!watu wengi wamehusishwa ukatwaji huu umeme na ukaguzi wa miradi kama ya Chilakale resorts na mingineyo iliyopo hapa mkoani Morogoro inayohusishwa na familia ya Mh chini ya usimamizi wa Riz moja na majina fake mengine,kama Mbena Marumbi wa Chilakale e.t.c

Hehehe watanzania bwana sijui lini wataerevuka,sasa kukatwa umeme mji mzima mnamkomoa JK au unawakomoa wakaazi wa Morogoro,kuna wakaazi wa Moro biashara zao zinategemea umeme,kuna hospitali,zahanati na menegineo mengi sasa nani anateseka hapo ni JK au wa Moro

Siasa ni mchezo mchafu watanzania tusiwe watumwa wa siasa
 
Chilakale kwa habari za mtaa ni ya wananchi ni ya familia ya jk. Huo mradi unaanzia hapo barabarani mpaka kule mlimani mataa yapowaka usiku km ikulu na wameficha magari ya kitalii mapya takribani 20 tokea ujenzi ulipo anza. Majengo yanafumuka km uyoga na kununua ardhi kwa hela nyingi sana na kuhamisha makazi ya watu. Swali haya mahela wameyatoa wapi kwa fujo hivi. Na je huo mradi kunamadhuni gani maaan kuna tetesi wanataka kujenga uwanja mdogo wa ndege maeneo ya kule chilakale resort. Watu wa moro huko matombo na milima ya uluguru hakuna madini huko hawa mafisadi wanaweka miondombinu ya kitu flani si buree. Ila tutafika mwishooo tuuu.....

mkuu nilifika matombo na kukuta vijana hawaendi shule.wanashinda mtoni wakivua points za dhahabu.sasa kama dhahabu inaelea kwenye maji huko mto unapotoka kukoje?yaani matombo nzima ukiitazama hadi huku chini sijui makuyuni sijui mbuyuni(jina limenitoka)ni ardhi iliyojaa madini tupu!
 
Umemshitukia Kayabwe? jamaa mjinga, anauliza swali utafikiri hajaenda shule!au hiki chuo cha usalama wa taifa pale mbweni kinatoa batch zinazofanana na matokeo ya form iv ya mwaka jana?

..siku hizi bora mgambo kuliko idara hii IMEPOTEZA UBORA WAKE
 
Last edited by a moderator:
mkuu nilifika matombo na kukuta vijana hawaendi shule.wanashinda mtoni wakivua points za dhahabu.sasa kama dhahabu inaelea kwenye maji huko mto unapotoka kukoje?yaani matombo nzima ukiitazama hadi huku chini sijui makuyuni sijui mbuyuni(jina limenitoka)ni ardhi iliyojaa madini tupu!

Panaitwa MKUYUNI mkuu,, haya yote anafanikiwa kwa msaada mkubwa wa Chifu Kingalu
 
Hehehe watanzania bwana sijui lini wataerevuka,sasa kukatwa umeme mji mzima mnamkomoa JK au unawakomoa wakaazi wa Morogoro,kuna wakaazi wa Moro biashara zao zinategemea umeme,kuna hospitali,zahanati na menegineo mengi sasa nani anateseka hapo ni JK au wa Moro

Siasa ni mchezo mchafu watanzania tusiwe watumwa wa siasa

Labda ni mimi sijakuelewa au wewe ndio haujamuelewa mleta mada!kwa uelewa wangu mdogo mimi kama Watanzania wengine ambao hatuja erevuka bado ni kua,mleta mada alilenga kuonyesha kua ni jinsi gani hawa viongozi hawajali mateso au karaha wanazopata wananchi wao kwa kuweza kufanikisha tu wale wanayoyataka/kuyatamani kufanikisha kwa ajili yao na familia zao!akatoa mfano wa jana kua kukatika huko kwa umeme mji mzima wa Morogoro kulikua planned ili mkuu aweze kukagua hiyo miradi ilhyojificha ambayo hata hivyo inajulikana wazi kwa wananchi kutokana na uendeshwaji wake na mmoja wa wana familia kuonekana mara kwa mara akija kukagua miradi hiyo!kama nimekosea mleta mada anirekebishe!
 
mkuu nilifika matombo na kukuta vijana hawaendi shule.wanashinda mtoni wakivua points za dhahabu.sasa kama dhahabu inaelea kwenye maji huko mto unapotoka kukoje?yaani matombo nzima ukiitazama hadi huku chini sijui makuyuni sijui mbuyuni(jina limenitoka)ni ardhi iliyojaa madini tupu!

ndio maana kuna kipindi mwaka jana jk alienda huko matombo kuzindua kidaraja ambacho hata mkuu wa wilaya angezindua sasa naona lazima ahakikishe miundo mbinu ya mradi iko vizuri. Kuna matombo, mkuyuni,mvua na hata wananchi wa moro pande hizo wanasema jk na watu wake washanunua baadhi ya mapande ya milima uluguru kuanzia hapo chilakale kule mlimani kuelekea huko matombo. Dhahabu iko nje huko ndio mpango wa mradi mzima. Tushauzwa ila bado tunamatumaini ya kujikomboa
 
Uko sahihi mkuu,hizo ndizo story zilizopo huku Morogoro,na kama zinashabihiana na ukweli,basi uzuri ni kua hivi vitu vitakuja rudi mikononi mwa wananchi tu either kesho au kesho kutwa
 
Itamfaa nini mtu akiupata ulimwengu wote halafu akaikosa mbingu (ufalme wa mungu)? Ya dunia yanapita na fahari yake yote. Heri amchae mungu na kutenda haki!!!
 
Ili ni hujuma tu ya wapinzani dhidi ya serikali ya JK. M baba wa watu kaja kukagua miradi yake, nyie mnalalamiiikaaa. Au mmesahau MZEE TOLA ALIKUWA ANAPIGA MSOSI GIZANI?
 
The day is coming when they will be singing a new song, the song of liberty, the redemption song!!
 
Back
Top Bottom