JK aingia Moro,umeme wazimwa mji mzima

JK aingia Moro,umeme wazimwa mji mzima

Nyamburi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
306
Reaction score
37
Wadau mji wote wa Morogoro hauna umeme kuanzia saa mbili usiku huu,na rais yupo mkoani hapa kwa ziara ya kikazi!watu wengi wamehusishwa ukatwaji huu umeme na ukaguzi wa miradi kama ya Chilakale resorts na mingineyo iliyopo hapa mkoani Morogoro inayohusishwa na familia ya Mh chini ya usimamizi wa Riz moja na majina fake mengine,kama Mbena Marumbi wa Chilakale e.t.c
 
Na kinana yupo china anakagua makontena yake yaliyobeba meno ya tembo kama yamefika salama!!
 
Kwani kukatika umeme si ndio hali halisi ya miji yetu? Amekuja ili ajionee hali halisi ya wananchi wa Morogoro na kukatika umeme ni sehemu ya huo uhalisia...
 
Kwani kukatika umeme si ndio hali halisi ya miji yetu? Amekuja ili ajionee hali halisi ya wananchi wa Morogoro na kukatika umeme ni sehemu ya huo uhalisia...

Jaribu kificha ujinga wako. Hivi wewe toka loni mtu akazoea shida? Toka lini Jk akaa kwenye giza??? Na walisha sema giza mwiko Tz iweje umeme ukatwe usingizie kaja kuona shida au kaja kukagua miradi ya familia ili asionekane
 
Kwani kukatika umeme si ndio hali halisi ya miji yetu? Amekuja ili ajionee hali halisi ya wananchi wa Morogoro na kukatika umeme ni sehemu ya huo uhalisia...

Mkuu mbona haueleweki,unajichanganya na unaelemea kwenye ujinga zaidi?
 
Jaribu kificha ujinga wako. Hivi wewe toka loni mtu akazoea shida? Toka lini Jk akaa kwenye giza??? Na walisha sema giza mwiko Tz iweje umeme ukatwe usingizie kaja kuona shida au kaja kukagua miradi ya familia ili asionekane

Nana kakwambia umeme ukikatika JK anakuwa kwenye giza?
 
Umeme na maji TZ ishakua kero watu "keroooo kerooo". Copi wagosi wa kaya
 
Nadhani ameisha rejea Dsm,kama bado yupo huko basi anakutana na washikaji zake wale waarabu wa Radio Imani!
 
Mwanzoni alishasema JK kuwa eti kuna mzee wa hekima alimshauri kuwa biashara za kuanzia uzeeni siyo nzuri,zinaweza kukuumbua pengine then akimpiga kijembe yule mmiliki wa ANBEN CO LTD.Sasa yuleyule ------ kageuka MJASIRIAMALI?
 
Wadau
mji wote wa Morogoro
hauna umeme kuanzia saa mbili usiku huu,na rais yupo mkoani hapa kwa
ziara ya kikazi!watu wengi wamehusishwa ukatwaji huu umeme na ukaguzi wa
miradi kama ya Chilakale resorts na mingineyo iliyopo hapa mkoani
Morogoro inayohusishwa na familia ya Mh chini ya usimamizi wa Riz moja
na majina fake mengine,kama Mbena Marumbi wa Chilakale e.t.c

Lazima atakuwa vip ya Chilakale resort,mali ya familia yake akijadili mambo magumu yanayoikabili nchi hii na wapambe
wake std 7 kama kina Hassan Bantu wakimpa mawazo ya kuongoza nchi hii kwa majibu mepesi kama ya policcm
 
Mwanzoni alishasema JK kuwa eti kuna mzee wa hekima alimshauri kuwa biashara za kuanzia uzeeni siyo nzuri,zinaweza kukuumbua pengine then akimpiga kijembe yule mmiliki wa ANBEN CO LTD.Sasa yuleyule ------ kageuka MJASIRIAMALI?

Mkuu yeye hafanyi biashara,amemuachia Riz moja,sasa sisi tunachotakiwa kuhoji,huyu Riz moja hela za kufanya uwekezaji wa nguvu kama vile Chilakale Resorts anazipataje ili na sisi tufuate nyayo
 
Umemshitukia Kayabwe? jamaa mjinga, anauliza swali utafikiri hajaenda shule!au hiki chuo cha usalama wa taifa pale mbweni kinatoa batch zinazofanana na matokeo ya form iv ya mwaka jana?
Hujui au we usalama unaandika taarifa unafanya risechi kwa kuconfirm kwa watu 2,3 kama sample space yako,acha wewee
 
Last edited by a moderator:
Mkuu yeye hafanyi
biashara,amemuachia Riz moja,sasa sisi tunachotakiwa kuhoji,huyu Riz
moja hela za kufanya uwekezaji wa nguvu kama vile Chilakale Resorts
anazipataje ili na sisi tufuate nyayo

Yaaa,kwani ni ajabu lingine la dunia Mkuu
 
Back
Top Bottom