Dawa za kurefusha na kunenepesha uume na njia mbadala | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawa za kurefusha na kunenepesha uume na njia mbadala

Discussion in 'JF Doctor' started by Kichankuli, Feb 27, 2009.

 1. Kichankuli

  Kichankuli JF-Expert Member

  #1
  Feb 27, 2009
  Joined: Dec 18, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  1)Kuana aina ngapi za dawa za kuongeza Uume?
  2) Je hapa Tanzania zipo? kama ndiyo zinapatikana wapi?
  3) Nini madhara yanayosababishwa na kutumia dawa za kuongeza Uume?
  4) Kuna limitation ya kiumri katika kutumia dawa hizo? ua niulize hivi, ni upi umri muafaka wa kutumia dawa hizo?

  ==========
   
 2. Mhafidhina

  Mhafidhina JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2009
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Na mimi naomba kuongezea swali hapo pia, je ni saizi gani ya uuume ambayo ni standard? au kuna kiwango cha urefu ambacho huwa ndio standard? Na je kinapimwa wakati gani? wakati uume ukiw aumesimama au wakati ukiwa umelegea (umelala)?
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Feb 28, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,407
  Trophy Points: 280
  penile enlargement
   
 4. K

  Kungurumweupe JF-Expert Member

  #4
  Feb 28, 2009
  Joined: Jun 17, 2008
  Messages: 317
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Na je, uume uliokwenye standard nzuri ya kumulizisha mwanamke unatakiwa uwe na unene wa inch au centimeter ngapi? Na je huo unene unapimwa wakati gani? Wakati uume ukiwa umesimama au wakati ukiwa umelegea (umelala)?
   
 5. p

  p53 JF-Expert Member

  #5
  Mar 1, 2009
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 613
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35

  mkuu wanachofanya medically ni ku losen up the penile ligaments then wanajaza fat tissues,thats it.so there is nothing like penile enlargement what they do is just to increase the penis size while at rest cos the erectile length will be the same as before.and as a matter of fact utajitafutia matatizo tu cos at the end of the day uume utatepeta sana na hautakuwa na nguvu ukisimama.
  wale kina matunge clinics i dont know how do they do it but im sure litakuwa changa la macho tu na wanaweza kukuharibu vilevile.
  ridhika na size yako mkuu,thats what i can tell u!
   
 6. p

  p53 JF-Expert Member

  #6
  Mar 1, 2009
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 613
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  standard ni 2.5-4.5inches kabla haijasimama.ikisimama ni 4-8inches.lakini ni vizuri kama una at least 4inches kwavile uke wa kawaida huwa unaanzia size hiyo.
   
  Last edited: Mar 1, 2009
 7. p

  p53 JF-Expert Member

  #7
  Mar 1, 2009
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 613
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35

  mkuu size ya uume siyo kipimo cha kumridhisha mwanamke.hivi unajua kuwa uke una 4 sensitive parts na kati ya hizo ni moja tu sanasana ndiyo itahitaji uwe na uume walau mrefu kidogo?
   
 8. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #8
  Mar 1, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,403
  Likes Received: 81,429
  Trophy Points: 280
  Usijaribu kabisa hii kitu. Unaweza kuharibu kila kitu ukabaki unajuta for the rest of your life. Shukuru alichokujalia mungu kama hakuna matatizo basi huhitaji kuhamisha internal organs ili umpendaye asuuzike roho yake.
   
 9. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #9
  Mar 1, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,118
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Hakuna dawa kama hiyo mzee, ni scam tu. Kuna surgery lakini very risky with very few benefits.
   
 10. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #10
  Mar 1, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...jibu safi sana!

  ...naaam naaam, size ulokadiriwa inatokana na wajihi wako, usiipunguze wala kuiongeza,... kwani utaharibu balance ya viungo vingine mwilini mwako,...

  mfano; kama 'cheche' yako ndogo kama peremende, utakuwa umejaaliwa pua, ama domo la kutosha kupumulia, ...sex sio kila kitu bana!
   
 11. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #11
  Mar 1, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Swadakta ndugu, inategemeana unaknowledge gani na K***, it is true sex is not everthing...!
   
 12. PatPending

  PatPending JF-Expert Member

  #12
  Mar 2, 2009
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 490
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Mwenzenu wakati akianzisha thread hakusema kuwa anataka kuongeza maumbile yake, wala hakutanabaisha sababu kuu za yeye kuleta hii mada hapa. Labda ni kwa ajili ya rafiki au jamaa yake? Labda anataka kuwa mwanamitindo wa chupi za kiume?
   
 13. S

  Stanley B Member

  #13
  Mar 2, 2009
  Joined: Nov 26, 2008
  Messages: 10
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  I really enjoy seeing people showing concern to such special private issues hii ni jamii iliyojaa habari za ngono kila kona mara oooh ananiridhisha or not I believe maisha ni uwanja mpana sio sex tu,wapo ladies ambao sio sexual monger wanalizika but ukipata demu ambae kaishatest several big and fatfat utakuwa ktk danger zone.so many guys wanaface aya matatizo u are not alone take confidence and make yourself strong economically
   
 14. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #14
  Mar 2, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Eh kweli watu na ku-make conclusions... hebu twambieni kila kona kuna adverts za ku-enlarge your manhood... kama kuna ambao wamefanya na wakaridhika au kutoridhika hebu wachangie tujue ukweli wa hawa 'madaktari' wenye kutibu every single condition on the face of the earth.
   
 15. S

  Stanley B Member

  #15
  Mar 2, 2009
  Joined: Nov 26, 2008
  Messages: 10
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mada kama hizi wangekuwa wanatusaidia kina dada kutupa elimu pana on how the feel wti long,short,small and watever ingekuwa inaturaisishia majibu coz wao ndo walengwa wakuu,i beg plse kama wapo wajumbe husika wa2saidie for the jamiiforum members interests.thanks
   
 16. k

  keff Member

  #16
  Mar 2, 2009
  Joined: Dec 6, 2008
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani ehee hakuna dawa au kitu chochote kinachoweza kuongeza uume wakowakati umeshakuwa mtu mzima(MKUBWA),hata hivyo njia nzuri na yenye uhakika na matokeo mazuri ni kufanya hivyo tangu mtu yuko mdogo,namna ya kufanya ni kuchua au kuuvuta uume wakati amelala au kabla na baada ya kumuogesha,fanya hivyo kwa kutumia mafuta laini,hii inafanyika zaidi sehemu ya kaskazini ya tanzania hasa wakerewe,wasukuma na wajita na vilevile wanafanya hivyo kwa wanawake wanawavutavuta vinembe na wakikua vinakuwa virefu kama urefu wa kidole cha mtu mkubwa
   
 17. Violet

  Violet Member

  #17
  Mar 2, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hauna haja ya kuhangaikana operation au madawa. Tafuta size zako tuu,
   
 18. p

  p53 JF-Expert Member

  #18
  Mar 2, 2009
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 613
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  kama ulivyosema labda kauliza kwa ajili ya jamaa yake.unapojibu swali ni vema majibu yako yasijifunge katika lile swali tu.ni vema kwenda mbali zaidi na kujibu kwa faida ya wengine pia na si kwa muulizaji tu.
   
 19. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #19
  Mar 3, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  From The Book "The Kama Sutra of Vatsayayana"
  More Reading:
  Human penis size

  facts About penis size
   
 20. Kaka Mkubwa

  Kaka Mkubwa Senior Member

  #20
  Mar 5, 2009
  Joined: Oct 10, 2008
  Messages: 154
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ha ha haaaaaaaaaaaaa i remember michael jackson a.k.a wacko jacko
   
Loading...