Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,053
- 15,515
Nilishawahi kulitumia hilo jiwe miaka kadhaa iliyopita nyuma,hakika ukiambiwa huwezi amini jinsi linavyofanya kazi yake,kwa ufanisiNi tiba ya vizazi na vizazi isiyothaminiwa wala kutangazwa kama zilivyo dawa za kihindi kizungu na kichina... Ugunduzi wa mwafrika Mmasai... Jiwe la sumu limesaidia kuokoa watu wengi sana hasa wale wa vijijiji
Sifahamu vema siri iliyomo kwenye hili jiwe dogo ambalo huwekwa kwenye jeraha bichi linalovuja damu, jeraha litokanalo na kuumwa na nyoka, nge au buibui... Unapoliweka hapo halibanduki mpaka linyonye sumu yote kwenye jeraha na likimaliza kazi hudondoka lenyewe
Likishadondoka unatakiwa kuliweka kwenye maziwa ili nalo kulitoa sumu liliyoinyonya wengine wanaita kulisafisha tayari kwa matumizi tena View attachment 582419View attachment 582420huyo mjamaa hapo juu aliing'ata usiku wa kuamkia jana, mida yetu ile..... Saa tisa kasoro! Nilistukia tu maumivu makali sana
Haraka sana nikatafuta tochi kali na kumulika,! Mungu ni mwema nikamkuta ni jamaa anajitahidi kutoroka! Nikamuwahi na kumpa haki yake RIP
NIiliwahi hospital nikapata tiba ya kizungu na mchana wa jana nimeweka hili jiwe ambalo mpaka sasa limeng'ang'ana... Kwahiyo sumu bado ipo
Ni tiba ya ajabu hii
Sent using Jamii Forums mobile app
inabidi nilitafute....
Usiogope bhana, ujue nyoka wa kuchoma watamu sana.Pole sana kaka mshana,hapa mwili wote unanisisimka. Jamani hivo viumbe naviogopa balaa,yaani Leo nitaota vibaya mno. Nikiona picha au nikimuona live ninaota yaani nawaogopa hao
Kuna siku nilikuwa peke yangu kwenye chumba mara namuona nyoka kitandani halaf usiku!!! Nilipata ujasir sijui wapi tu nilimuua kesho yake nikahama nikaenda kupanga sehem nyingine.Pole sana kaka mshana,hapa mwili wote unanisisimka. Jamani hivo viumbe naviogopa balaa,yaani Leo nitaota vibaya mno. Nikiona picha au nikimuona live ninaota yaani nawaogopa hao
Acha masikhara sasaUsiogope bhana, ujue nyoka wa kuchoma watamu sana.
Kuna siku nilikuwa peke yangu kwenye chumba mara namuona nyoka kitandani halaf usiku!!! Nilipata ujasir sijui wapi tu nilimuua kesho yake nikahama nikaenda kupanga sehem nyingine.
Pole sana mkuuDuu acheni vituko mjue hapa sio mambasa! Huo mguu umevimba loh.
Na hapo ni hospital
Sent using Jamii Forums mobile app
nyie ndo mliokuwa mnafeli mitihani huku mkiwa mmesoma vitu vingi,hujikiti kwenye mada unajib hata usichoulizwa!Ago mawe Kwa kitaalamu tunayaita carbonicius rock nazani ni pumice type.
Sifa kubwa ya carbon rock ni kunyonya/kufyonza /adsorption kutokana na porous zake, Kwa kutumia hii physical properties hizi rocks zimekuwa na application mbalimbali mana zinauwezo wa kunyonya ions.
Kwa mfano kutumika ktk kuchuja maji (baadhi ya nchi wanatumia maji ya bahari lakini chumvi yote uondolewa kwenye maji Kwa kutumia carbon), kukamatia madini precious metal kama gold and silver zikiwa kwenye cyanidation solution ( CIL,CIP, Vat leaching plant )
All in all hizo rocks zina porous za kutosha kufyonza ions and that's why it used as adsorption of snake poison.
Teh teh tehnyie ndo mliokuwa mnafeli mitihani huku mkiwa mmesoma vitu vingi,hujikiti kwenye mada unajib hata usichoulizwa!
ulichokifanya hapa ni kutafsiri notes!Teh teh teh
Umenichekesha sana , nimejibu kwa upana na kutoa mifano Kwa faida ya wote ili kesho na keshokutwa tusije kujibu kitu icho icho kikiulizwa ktk angle nyengine.
In short ilo jiwe ni jeusi na sio la kutengeneza kama mdau mmoja alivyosema labda kama kulishepu na kulichonga hapo ni sawa.
Hilo jiwe ni carbonious rock na sifa yake kubwa ni kunyonya ions ( kumbuka kuwa damu ni ions ) iyo process ya kunyonya inaitwa adsorption na inafanyika kutokana na physical properties zake za kuwa na porous.
Nikatolea mfano ata maji yenye chumvi unaweza kuyachuja Kwa kutumia kaboni na chumvi ikanyonywa Kwa kiasi kikubwa, mtu atakayetumia activated carbon kwenye mgonjwa aliyegongwa na nyoka itakuwa more effectively treatment.
Pia hizi carbon utumika ata kwenye viwanda vya maji na soda for purification kuondoa madini fulani yaliyomo.
Kwa kuongezea pia utumika kufyonza gold ambayo ipo kwenye solution form.
Mazumuni ya kwenda mbali zaidi ili kuongeza uelewa Kwa watu wengine na kuitendea haki JF
Ni tiba ya vizazi na vizazi isiyothaminiwa wala kutangazwa kama zilivyo dawa za kihindi kizungu na kichina... Ugunduzi wa mwafrika Mmasai... Jiwe la sumu limesaidia kuokoa watu wengi sana hasa wale wa vijijiji
Sifahamu vema siri iliyomo kwenye hili jiwe dogo ambalo huwekwa kwenye jeraha bichi linalovuja damu, jeraha litokanalo na kuumwa na nyoka, nge au buibui... Unapoliweka hapo halibanduki mpaka linyonye sumu yote kwenye jeraha na likimaliza kazi hudondoka lenyewe
Likishadondoka unatakiwa kuliweka kwenye maziwa ili nalo kulitoa sumu liliyoinyonya wengine wanaita kulisafisha tayari kwa matumizi tena View attachment 582419View attachment 582420huyo mjamaa hapo juu aliing'ata usiku wa kuamkia jana, mida yetu ile..... Saa tisa kasoro! Nilistukia tu maumivu makali sana
Haraka sana nikatafuta tochi kali na kumulika,! Mungu ni mwema nikamkuta ni jamaa anajitahidi kutoroka! Nikamuwahi na kumpa haki yake RIP
NIiliwahi hospital nikapata tiba ya kizungu na mchana wa jana nimeweka hili jiwe ambalo mpaka sasa limeng'ang'ana... Kwahiyo sumu bado ipo
Ni tiba ya ajabu hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwenye hili nafikiri % kubwa hatuchekani waTZ documents matters more than the know how practically ya jambo fulani na hapa ndiyo tunakwama sana.ulichokifanya hapa ni kutafsiri notes!
na huu ndo udhaifu wa mfumo wa elimu tz
Limefika ila halikufanya kazi kwa ufanisiMtaalamu pole sana, naona kuna mtu amekutumia kombora.
Mmh am so sorry I will never protect a serpentPole sana. Jiwe unaweza tengeneza mwenyewe. Chukua mifupa migumu hasa wa mguuni au kichwani mwa mnyama kama Tembo, Ng'ombe au Nyati. Uchome kwenye moto mkali kwa Muda mrefu hadi uwe mweusi hapautapata hilo linaloitwa "Jiwe la nyoka" .
Huwa tunadanganywa ni jiwe toka Tabora blablah ...
NB: Sio kila nyoka ana sumu. Just animals like others, they are part of ecosystem. don't hurt them. Protect snakes!!