Sijakuelewa mkuuSiku ya kwenda kulicheki inabidi uwe close nao otherwise utakuja kulalamika humu. Inaweza kuwa mali hiyo
iyo sio gololi hiyo!Msaada, mwanangu kaokota ili jiwe, nimeshindwa kuelewa ni jiwe la namna gani, kuna kiini ndani yake, ukilegeuza jiwe nacho kinageuka.
Nimeona nisilitupe yazekana ni Mali, ebu wataalum niambieni:View attachment 487485View attachment 487486
mkuu mbona una kucha ndefu sana
Duh! Jumba Bovu, Ndani ya pasi, Alichimba shimo la urefu wa kina gani? Ngoja waje wataalam wa vitu vya thamani vya Wajerumani watueleze hiyo ni nini.Njisi mtoto alivyookota ni kwamba, nilinunua kiwanja sehemu kulikuwa kuna jumba bovu, wakati wa kukisfisha, kijana wangu alikuwa anachimba shimo ili afukie uchafu, Ndipo akaokota pasi, ilikuws imechakaa sana, kufungua ndani ndio kukuta kitu kama hicho.
mkuu mbona una kucha ndefu sana
Bomu hilo ngoja liwalipukie wewe na mwanao kwa uroho wa utajiri - lolMsaada, mwanangu kaokota ili jiwe, nimeshindwa kuelewa ni jiwe la namna gani, kuna kiini ndani yake, ukilegeuza jiwe nacho kinageuka.
Nimeona nisilitupe yazekana ni Mali, ebu wataalum niambieni:View attachment 487485View attachment 487486