PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,517
- 13,264
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Ndoano hiyo,akili kumkichwa.....
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Ndoano hiyo,akili kumkichwa.....
mimi nimetaka clear picture ili niweze kufanya ulinganisho kwenye database zetu za mambo ya miamba.Achukue video kabisa, tuone hicho kiini kinavyo geuka
Kwa uelewa wangu mimi Luster haiwez kutosha kufanya maamuzi,luster yake
Hebu piga Picha kama tano hivi kwa angle mbalimbali nitakupa jibu sahihi
Ohooo! ngastuka....Ndoano hiyo,akili kumkichwa.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ohooo! ngastuka....
Weye wanyamazisha wenzio yakhe, mbona waja kuuliza huku yakhe, si ungali kaaa kimya kama ambavyo wataka tusiojua kama weye tukaye yakhe!!!Kama hujui Kaa kimya mzee