Jiwe gizani

timetoloveyourself

JF-Expert Member
Mar 24, 2015
206
206
Narusha jiwe gizani hakuna namna.

Poleni wadada mnaojipeleka kwa watumishi bila kumuuliza Mungu.

Yaani ukisikia hallelujah unajiona ndio umefika, unaamua kujiamulia ooo!Yule atakuwa ndiye mume wangu, tena wapambe wako pembeni wanakutia moyo ili uende.

Unaamua kwenda ku-muaproach mtu mwisho wa siku unakuja kuwaona watumishi hawafai kumbe ulitumia njia za panya kutaka kuingia katika uchumba.

Suala la uchumba linatakiwa lianze na mungu. Siyo hisia ndizo zikutume ku-force uchumba.

Mwisho wa siku utadharau huduma za watu bure kisa hisia zako.

Jirekebisheni.
 
Watumishi wengi nao siku hizi hamna kitu...utasikia nimeoneshwa flan ndio mume/mke wako,kumbe ni namna yao tu ya kuongeza waumini na kupata pesa.

USIMWAMINI MTU YEYOTE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom