Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,008
- 165,553
- Thread starter
- #21
Usiogope kwenda nje kutafuta maisha halaliSawa mkuu
Usiogope kwenda nje kutafuta maisha halaliSawa mkuu
Usiogope kwenda nje kutafuta maisha halaliSawa mkuu
Asante mkuu... Ngoja ni apply huenda nikawa msaada badae kuimboa keybeat
It's a very straight ford thing , I saw Ghanians been recruited long time and once you get citizen ship you can add your parents in to it.Wazungu wajanjaa.
Hapo lazima uwe na sponsor aliyepo UK akudhamini ndiyo uweze kuapply.
Thubutuu, hapa si wanajua hakuna vita kazi ya kuonea tu raia. Waende huko wakaone shughuli yake, mara Iraq, mara Syria hujapumua vizuri Afghanistan.Haya wale wanaosuburia jkt wachangamkie fursa hiyo
Kufa kupo lakini mkiwa deploid kama Brish or American army kwanza kwenye ndege mna kuwa na madaktari na manesiThubutuu, hapa si wanajua hakuna vita kazi ya kuonea tu raia. Waende huko wakaone shughuli yake, mara Iraq, mara Syria hujapumua vizuri Afghanistan.
Sure, I also heard to friend of mine that his friend got to be there.It's a very straight ford thing , I saw Ghanians been recruited long time and once you get citizen ship you can add your parents in to it.
There are quite few Tanzanias who reside in the U.K. the problem is the majority of them are known as wa-Rundi or Rwandese in the system.Sure, I also heard from friend of mine that his friend got to be there.
They need someone residing in UK as a sponsor to applicant(must).
Furthermore, you need to stay in UK for 6 months while your application being processed.
Hapo ndipo difficulties zinapojitokeza kwa mtoto wa kwa mtogole.
Kwa kijana mwenye mtu wa namna hiyo huko hii ni fursa atume maombi.There are quite few Tanzanias who reside in the U.K. the problem is the majority of them are known as wa-Rundi or Rwandese in the system.
Kuna dada mmbongo alipata boyfriend mzungu akamwambia Mimi nimetoka Rwand ili asikosee madesa, mzungu alifahamu familia ya ta rands w kweli alifanya kazi na jamaa, akamwambia nimepata girlfriend kutoka Rwanda mwaliko ukafanywa mdada kinyarwanda hakijui wala mitaa ya Rwanda, ilibidi awe mkweli, ukweli ulipotoka mzungu kamwaga manyanga. Kwao uwongo ni issue.Kwa kijana mwenye mtu wa namna hiyo huko hii ni fursa atume maombi.
Kwamba hao Watanzania wa-rwanda walitumia opportunity ya ukimbizi wa Rwanda! [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji1]
Ndugu yangu unatakiwa uwa ambia ukwel sio emeona commonwealth countries basi umejua ndio itakuwa rahisi watu wata apply hta Huko TZ.British army is taking people between the ages of 18 to 32 into their army from commonwealth countries. Inform interested people to go to their website to apply.
They need people that bad and the army is willing to send an invitation letter for u to apply the visa. They need like 12,000 ppl to join from the commonwealth.
Web address www.army.mod.uk/join
Duuh. Pole zakeKuna dada mmbongo alipata boyfriend mzungu akamwambia Mimi nimetoka Rwand ili asikosee madesa, mzungu alifahamu familia ya ta rands w kweli alifanya kazi na jamaa, akamwambia nimepata girlfriend kutoka Rwanda mwaliko ukafanywa mdada kinyarwanda hakijui wala mitaa ya Rwanda, ilibidi awe mkweli, ukweli ulipotoka mzungu kamwaga manyanga. Kwao uwongo ni issue.
Ukipata uraia unikumbuke mimi ndugu to wa JFNgoja niapply fasta
KidhunguBritish army is taking people between the ages of 18 to 32 into their army from commonwealth countries. Inform interested people to go to their website to apply.
They need people that bad and the army is willing to send an invitation letter for u to apply the visa. They need like 12,000 ppl to join from the commonwealth.
Web address www.army.mod.uk/join
Umenisikitisha sana kwa hii comment yako!! Ina maana kudhuru nchi ni lazima ujue siri za jwtz??Hao watu 20 walioenda huko hawawezi wanajua siri gani za JWTZ hadi wawe threat Kwetu?