Jitoe Ufahamu, Uinjoi Mapenzi...

Achana na Mapenzi,
Tafuta Hela..
Ukiwa na Hela Mapenzi ya kila rangi utayapata.
Dunia hii Popote utakapoenda Mapenzi Yapo tu.
Silaha Pesa,
Angalizo 'Usipende Utaumia'
 
Yaani weee acha tu km ulikuwepo, Mariooo raha, raha sana kupendwa!! km nyie msio kuwa na kitu mtaumia sana best!
utaumia wee hapo unategemea pesa za mwenzio, je akiku dump unaanzia na kuishia wapi? Lol
 
utaumia wee hapo unategemea pesa za mwenzio, je akiku dump unaanzia na kuishia wapi? Lol
Siumii hata kidogo!! kwanza Malimbwata yooote haya, mnayo tupaga? sasa nitampatia yeye!!! mie nashangaa sana wanawake!! mnajifanya hamjui? kumbe ndo nyie machampion!! niumie nini sasa ebo? ebu nikuulize hivi RoBo linaumiaga au lina furaha?

Ndo kwanzaa Mdude huo Unapiga push up tena hewani bila mimacho macho! !! pindi liki muona tu, labda ungesema aniue kabisaaaa!! Cocastica sema ukweli wako utavumilia kweli dada angu kutizama mdude bila macho??!

Dunia ina maajabu sana, Yaani Bure na Malipo juu, Nyumba nzuri, eti ni maumivu? Migari ya kutosha natanulia bure navotaka.
kwa heshima ya mama simpi lift demu, eti unasema ni maumivu hayo jamani? au wataka wapoteza vijana humu! na

Shule kanipeleka kwa hela yake, kazi, Mtaji kanipa!! kugegeda pembeni km kawaida sometimes wanae wanafika bei! unataka nini hapa Duniani, akini dump wakati ameshanipa Elimu kubwa! mtaji wa kutosha, na Bintie mkubwa na mie damudamu hasara kwa nani??
 
Kuishi ni kujua, kujifunza, kuelewa, katka pitapita zangu huku na huko maishani nilielewa mambo mengi sana mojawapo ni hili,

wanawake wote rijali, ambao mashine zao zina fanya kazi vizuri humu Duniani wakiona mwanaume anamiliki Demu mwenye Hela, mwenye Heshima ktk jamii husika, mkubwa kuliko yeye, msafi, mzuri, na tajiri, msomi, Maridadi, ana wadhifa flani kwenye jamii,

kwa hali km hii hata uwaseme vipi watakuchukia, lkn deep down huwaga wanakasirika sana, wanaumia si kawaida na hawabadiriki kirahisi wanaweza hata kufa kifo kifo! mwanaume usipo jua hili, na kujua namna ya kuishi unaweza kumuacha Mam sap wako!

Wako tayari wakupe papuchi bure!! bure kabisaaa na hela juu!! sijui kuna nini hapa kati!!(limbwata) kwa mfano shuleni Rafiki zangu viwembe walikuwa wanawakula madem mfululizo bila kukoma tena mademu wakali! lkn wale mapadre wanamaliza term nzima bila kuonja demu!!

sijui kuna nini hapa katikati ukiwakataa, na kukomaa na mshikaji wako Mama mtu mzima na ukiwatolea nje wanaanza majina km..
Marioo!! umeolewa, umelishwa vya matako, mtayari. ... ongezeni mengine jamani Loool!! wadada si mnajua mnavotuitaga?!

Nitawaonyesha me tuu ! wote njia rahisi sana ya kupangua limbwata hata liwe lile limbwata mahiti! wanavo liita hasa watu wa pwani! atakupenda yeye na kukupa hela! keep it up you will see!!!
 
Aisee! Mnaishi mkoa mmoja na huyo jamaa kiasi kwamba kuonana kwao ilikua rahisi au mikoa tofauti?
 
Sijawahi ona ushauri wakingese kama huu tokea niingie JF.

Hata mnyama pori hawezi kuishi hivyo.
 
Haha ujue mtoa post umegusa kitu ambacho wengi hawajawahi kufikiri yaan unakutaa mtu amepata dem mpya anataaamba sana kitaani wakati huo dem mtaa wa pili alikua kama mke kwa Mdau wa kawaida tuu asa mpaka unajiuliza vijana tunafeli wapiii...........aisee Mungu akubariki sana maana umetoa funzo kwa wengi.
 
Duuuuuuh makubwa hayaa lol, hongera kwa hilo.
 
Itafika muda ufahamu utarudi tu na kujiona famba ukitendewa mauzauza ya hayo mapenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…