Jitizame kama umerogwa ukiwa nyumbani kwako

Hizbu Sharifu

JF-Expert Member
Jan 27, 2021
449
882
Habari wanajamii,

Napenda kuchukua fursa hii kuwapa darasa huru jinsi ya kujiangalia mwenyewe kama umerogwa.

1. Chukua mkaa usagesage uwe kama unga changanya na ubani wowote uusage vizuri kisha ufunge kwenye karatasi na uuweke kwenye mto wako unaolalia.

2. Usiku wa kuamkia alkhamis weka dawa yako na uulalie utakutana na ndoto zako zote zinazohusiano na uchawi kama aliekuroga umerogwaje wapi vitajionesha.

Asanteni sana
 
Ubani kazi yake ni kuondoa harufu mbaya na majini wwzuri hawapendi harufu mbaya

Mkaa kazi yake ni kuwasha moto
Hakuna kitu cha ajabu

Kwangu hiyo kusaga mkaa, kuuchanganya na ubani kisha niulalie Alhamis ndio kitu cha ajabu.

Mkaa unawasha moto gani? Kwanini iwe siku ya Alhamis na sio siku yeyote? Majini wazuri??? Siwataki kuanzia wazuri hadi wabaya.

Kama hadi hapa nilipo sijawahi fanya hizo mambo na naendelea vizuri, siwezi kabisa hata kujaribu, achilia mbali kuwaza.

Naamini nilizaliwa siku moja, ntakufa siku moja pia, mlinzi wangu ni Mungu Muumba mbingu na vyote viijazavyo dunia.
 
Ha ha ha basi achana nayo tu ndugu
 
Sijakataa ila uchawi upo na watu hasa watu wa karibu wanatumia uchawi kuwaharibia wenzao na nimeandika tu kama umerogwa utaona kama hujarogwa huobi kitu its simple
Kama umerogwa lini sasa utaona?. Nilisharogwa kitambo sana huko miaka ya 2000,2010,2018 huko. Na aliekuwa ananiloga 2000 alifariki. 2010 alifariki. Wengine na wengine wote nitawaona? Au huyo tu wa hapo hapo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom