Jitihada za wanasayansi kufika mbingu ya 3{peponi}

tukiongelea mbinguni kwanza lazima tufahamu dunia ni kitu gani kiuhalisia,,mimi naamini dunia ndio ulimwengu mzima,sio duara hazunguki wala kuruka, hakuna kitu nje ya dunia,jua,mwezi,nyota na sayari zote vyote vipo ndani ya dunia hii na sio nje au outter space,wala havipo mbali.

jua halipo mamilioni ya miles ila lipo juu tu hapo kama tunavyoliona na mwezi pia upo juu tu hapo na nyota zote zipo karibu tu kama tunavyoona,sisi kama binaadamu macho yetu hayana uwezo wa kuona nyote zizlizo trillion 25 miles,nyota mwezi na jua tunaviona kwa macho yetu kwa sababu vipo karibu sana.
nje ya dunia hakuna universe wala hakuna outterspace na inawezekana kuwa hii dunia ndio haina mwisho na sio duara bali ni kama infinity realm (ulimwengu) wala haina motion yeyote na sayari zote zipo juu kama lilivyo jua, mwezi na nyota vinaizunguka ardhi kila siku.
jaribu kulitazama jua au mwezi kisha uone kama vipo nje ya wingu la buluu au vipo ndani.

turudi kwenye mada ya mbinguni,mimi kwa mtazamo wangu neno mbinguni linamaanisha realm na sio ukanda wa juu ya ardhi ya dunia,kwa hio kama kuna peponi itakuwa ni realm(ulimwengu) tafauti na hii na sio kupaa juu tu bali ni kwenda katika relm nyengine tafauti na hii tulipo,kwa maana hio wanasayansi hawataweza kutoka nje ya dunia na hawataweze kufika ulimwengu nje ya hii dunia,kama unafatilia report za wanasayansi wanasema kuwa mpaka sasa wana uwezo wa kuruka na kufika kwenye low earth orbit,low earth orbit ni kama 1200 miles kutoka ardhini,hawana uwezo wa kutoka nje ya hapo mpaka leo hii
nami ntaishia hapa
by the way- nimekwenda shule na kumaliza elimu ya juu,imani yangu ya kuwa kinyume na science ni kwa sababu mpaka leo hakuna proof ya outter space wala motion ya dunia wala gravity,hamna proof yeyote ni imani tu.
Duuuhhhh.

Habari mtoa maada. Mpaka leo hii hakuna ushahidi wa dunia kuwa si tambalale na inazunguka...?

Na kwamba jua, mwezi na nyota tuzionazo ziko karibu tu hapa...?
 
Hakuna watu wasumbufu kama watu wa dini

Yani wao mwanzo wakati tecnolojia ndogo walijua wakisema mungu yupo juu watu watakubali kirahisi kwasababu hakuna mwenye uwezo wa kufika huko

Sayansi ilivyoanza na videge vidogo vidogo, watu wadini wakastuka wakaona watasanukiwa na uongo wao, wakaamua waseme mungu yupo mbinguni juu juu zaidi ( hapa walitaja umbali ambao ndege hizo za kipindi hicho hazikuweza kufika)

Baada ya miaka kadhaa teknolojia imeongezeka, wakaona hii mi rocket imevuka pale waliposema hapafikiwi na zile ndege ndogo wakaongeza umbali

Saivi watu wanapasua mpaka mars, watu wadini hawataki kuumbuka wanatoa majibu maraisi tu kua mungu yupo mbingu ya saba ili kuwafanya watu waamini

Aisee kutoka usawa wa flow kumi wamempandisha mpaka kwenye kimo ambacho hakifaamiki urefu wake
 
Hahahaha umenichekesha hatari....
 
Ukitaka kujua wanaoamini kwenye uwepo wa maisha mengine baada ya hapa duniana ni wanafiki, chunguza matendo yao. Yaani asilimia kubwa ya wanayoyaamini sio wanayoyatenda....

Binadamu aliyekuja na dhana ya kwamba watu wasizini anaonekana alikuwa ana wivu sana.... na hii ndio hulka ya viumbe hai.
 
tukiongelea mbinguni kwanza lazima tufahamu dunia ni kitu gani kiuhalisia,,mimi naamini dunia ndio ulimwengu mzima,sio duara hazunguki wala kuruka, hakuna kitu nje ya dunia,jua,mwezi,nyota na sayari zote vyote vipo ndani ya dunia hii na sio nje au outter space,wala havipo mbali.

jua halipo mamilioni ya miles ila lipo juu tu hapo kama tunavyoliona na mwezi pia upo juu tu hapo na nyota zote zipo karibu tu kama tunavyoona,sisi kama binaadamu macho yetu hayana uwezo wa kuona nyote zizlizo trillion 25 miles,nyota mwezi na jua tunaviona kwa macho yetu kwa sababu vipo karibu sana.
nje ya dunia hakuna universe wala hakuna outterspace na inawezekana kuwa hii dunia ndio haina mwisho na sio duara bali ni kama infinity realm (ulimwengu) wala haina motion yeyote na sayari zote zipo juu kama lilivyo jua, mwezi na nyota vinaizunguka ardhi kila siku.
jaribu kulitazama jua au mwezi kisha uone kama vipo nje ya wingu la buluu au vipo ndani.

turudi kwenye mada ya mbinguni,mimi kwa mtazamo wangu neno mbinguni linamaanisha realm na sio ukanda wa juu ya ardhi ya dunia,kwa hio kama kuna peponi itakuwa ni realm(ulimwengu) tafauti na hii na sio kupaa juu tu bali ni kwenda katika relm nyengine tafauti na hii tulipo,kwa maana hio wanasayansi hawataweza kutoka nje ya dunia na hawataweze kufika ulimwengu nje ya hii dunia,kama unafatilia report za wanasayansi wanasema kuwa mpaka sasa wana uwezo wa kuruka na kufika kwenye low earth orbit,low earth orbit ni kama 1200 miles kutoka ardhini,hawana uwezo wa kutoka nje ya hapo mpaka leo hii
nami ntaishia hapa
by the way- nimekwenda shule na kumaliza elimu ya juu,imani yangu ya kuwa kinyume na science ni kwa sababu mpaka leo hakuna proof ya outter space wala motion ya dunia wala gravity,hamna proof yeyote ni imani tu.
Naona umepata wapumbavu wenzako wa kuunga mkono upumbavu wako
 
Back
Top Bottom