Nakumbuka zile gwaride, joro, wakati wa kuingia na kutoka lazima ukimbie....Kwa tuliosoma jitegemee na makongo kipi unakikumbuka then,
Sitowasahau Hawa Col masawe daz Baba, Mr Mrimi (R. I. P) jitegemee enzi hizo, makongo nawakumbuka Afande Miraji, hashimu thabeet, Babu. Ayubu nk.