Asante, ndio weekend inaanzaa karibu...Angalia Bill zako, angalia ndoto zako, angalia malengo yako kwa kias gani umeyatimiza, angalia kwenye hali yako ya sasa iko vipi, angalia akaunti yako, jiulize wikiendi una haki ya kupumzika ???! Nice weekend wapendwa
upo mpendwa?Walio wengi huwa wanatumia pasi kujali mifuko yao iko vipi.
Umefanya vyema kukumbusha mkuu kwa sababu walio wengi wanaishi kwa tamaa kwamba nikitumia leo basi nitapata kesho na kusahau kuwa usawa wenyewe sio.