burtons
JF-Expert Member
- Dec 30, 2009
- 280
- 86
ebu angalia hiyo gari hilo lilianza safari vizuri sana na hali ilikua nzuri lakini kadri safari ilipozidi kuendelea basi ndiyo ugumu wa safari ulipoanza kujitokeza na hata vikwazo vikajitokeza. ikafikia kipindi gari likakwama kwenye matope watu walio karibu wakamsaidia dereva ili kulinasua kwenye matope. ili khali wengine waligoma kumsaidia dereva. Dereva hakukata tamaa mpaka gari ikatoka kwenye tope na aliendelea na safari yake vizurii.
Funzo:
Dereva ni wewe kijana unaetafuta Maisha , pale unapoanza kutafuta maisha mazuri unaanza vizuri lakini vikwazo vinaanza kutokea juu yako vikwazo hivyo vinaweza kukukatisha tamaa na kukuvunja moyo kabisa, kuna watu watakucheka hao usiwasikilize kwani ni wanafiki pia kuna watu watakusaidia ili kujikwamua na khali hiyo. usikate tamaa kwani vikwazo ni moja wapo ya njia ya kutukomaza kimaisha na hata kifikra