Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,536
- 9,610
Wabuni miguno mipya ya kudai plate numbers za binafsi.Dada zangu hamjambo? Jitahidini kubuni miguno mbalimbali inamaana kubwa sana.
Asante.
NRNEDada zangu hamjambo? Jitahidini kubuni miguno mbalimbali inamaana kubwa sana.
Asante.
Nchi ya dunia ya 3 raha ni moja tu.Mkuu, ndo Unawaza miguno tuu
Miguno bila vingine si majanga tuuNchi ya dunia ya 3 raha ni moja tu.
Sasa,kama uchumi tunawazidi USA na EU,tuwaze kipi tena mkuu?Mkuu, ndo Unawaza miguno tuu
Asante.Sawa
Alipitiwa tu mama yetu kipenziSasa,kama uchumi tunawazidi USA na EU,tuwaze kipi tena mkuu?
Hakuwa na matege kama mpanti/banio la sufuria wakati wa kusonga ugali?Kuna mmoja nilikutana nae alikuwa anapiga vigelegele mixer kubweka kama mbwa.
Mkuu usiniambie na wewe unamjua. Ana utege kama Gebo PeterππHakuwa na matege kama mpanti/banio la sufuria wakati wa kusonga ugali?
Siamini.Alijipanga kabisa kutuaminisha hilo.Mimi hata ile kauli ya "TAFUTA HELA"nimeifuta kwenye kamusi yangu kichwani.Muda wote nina-boose tu.Alipitiwa tu mama yetu kipenzi
HahahaaaSiamini.Alijipanga kabisa kutuaminisha hilo.Mimi hata ile kauli ya "TAFUTA HELA"nimeifuta kwenye kamusi yangu kichwani.Muda wote nina-boose tu.
Dah!Hiyo ni mbwanda kalambwanda!Gebo?ππππMkuu usiniambie na wewe unamjua. Ana utege kama Gebo Peterππ
Mimi nilikutana na mmoja ana utege kama Feruzi Teru aka Terura!Khatari hiyooo!Mkuu usiniambie na wewe unamjua. Ana utege kama Gebo Peterππ
Siyo itoke automatically?Dada zangu hamjambo? Jitahidini kubuni miguno mbalimbali inamaana kubwa sana.
Mimi Ponjoro wa Kinondoni ukitaka niwe nakuhonga kila siku we toa milio mbalimbali hapo sitangoja uniombe hela.
Ni ukatili sana kuniambia maneno kama "HUMALIZI TU?" AU "LIONE!" AU "SIISIKII".
Asante.