Jitahidi kuwa mstaarabu kwenye daladala

Jitahidi kuwa mstaarabu kwenye daladala

Hakuna kitu nachukia Kama kubambiwa..Yani utakuta lijitu limen'gan'gan'gana tu kukuegemea na gari haijajaa Sana..kero aisee
 
Mama mmoja aliwahi kujilengesha kwa goti langu akawa anasugulisha pale baada ya muda nikasikia unyevu looh, jamaa akasimama nilipata shida sana kumtuliza aache hasira yaishe.
Kumbe na wamama huwa wanashindwaga kujizuia wakizidiwa?![emoji41][emoji1787]
 
Mbona huyo bidada kama anafurahia na anapenda kuona hivyo ilivyo katazwa kwa huyo jamaa...!!??
 
Hakuna kitu nachukia Kama kubambiwa..Yani utakuta lijitu limen'gan'gan'gana tu kukuegemea na gari haijajaa Sana..kero aisee
Haahaa pole sana,uwe unawakwepa mkuu kuna wengine hapo anamalizia haja zake kabisa
 
Back
Top Bottom