Jitabirie namna mwaka 2022 utakavyokuwa kwako

Jitabirie namna mwaka 2022 utakavyokuwa kwako

nitawapa ujauzito wanawake sita Nitawasaidia watu 100 kufikia mafanikio au ndoto zao
 
Mungu atanibariki kwa kupiga hatua kubwa tu ktk maisha.

Ameen
 
View attachment 2062324Natabiri mwaka 2022 utakuwa mwaka mzuri sana, mwaka wa mavuno kwa wengi.

Natabiri utakuwa ni mwaka wa kurejesha vyote vilivyoliwa kwa miaka mingi na tunutu, madumadu, nzige na maparare .

Utakuwa mwaka wa kufanya mambo makubwa, wengi ambao hawajawahi kumiliki magari wataenda kuyamiliki. Na wale ambao hawakuwahi kujenga, utakuwa ni mwaka wa ujenzi, mafanikio na maendeleo zaidi.

Mungu atayafuta machozi na hasara, hapo miaka ya uchungu itakoma.
Hii kama umenitabiria mimi kabisa, Mungu akubariki
 
Haha hahah kwanini umejitabiria hivi?
ikiwa mwisho wa mwaka kama ivi mwka fulani kuna jmaa alinidhulumu pesa zangu huku akijifanya ni rafiki ila pesa hataki kunipa nikamwambia mwakani ntapata zaidi ya hyo kweli nkafuta namba nikamwambia tusitafutane kabisa ,miezi sita mbele nilipata mara 20 ya ile pesa na tangu hapo nikawa nimesogea mbele mpaka leo
 
Mungu akusogeze tena mbele hatua 10000 zaidi
 
2022. Naomba Mungu afungue milango ya baraka zaid na zaid kwenye maisha yangu
 
Back
Top Bottom