Jirani yangu simuelewi

Jirani yangu simuelewi

Waungwana natumai muwazima, wengi wenu naamin mmelala mida hii mwenzenu nimekosa usingizi kabisa, Ninakoishi tuko wapangaji watatu nyumba ziko tatu ndani ya uzio mmoja, Tuko mabachela wote mimi ndio dume wengine wawili ni wadada mmoja anaishi na mdogo wake mwingine anaishi peke yake, Hatuonani kirahis kulingana na ratiba za kaz zetu, Ila kama weekend wote twaweza kuwa home mida ya mchana na hapo tunapata nafas japo kusalimiana na kubadilishana mawasiliano

Kwanini nimekosa usingiz

Jana nlikuwa stressed kiasi, so baada ya kaz nlirudi home nikaoga nikatoka kwenda kulewa japo sio kawaida yangu kulewa ila nakunywa, Sasa kilichotokea nikwamba nilitoka nakuacha funguo zangu upande wa ndani wa geti nikaondoka nikiwa baaa jirani yangu akanitext kuna funguo nimezikuta getin kwa ndani nizakwako ? kujichek nikajikuta siko na funguo kweli, nikamjib yes nizangu please nihifadhie

Funguo alibaki nazo mimi nikaendelea kupombeka mpaka saa tano usiku nikarudi home, wakati naanza kuja nikamtext jirani nikifika please nifungulie geti, kweli ilikuwa hivo kufika tu hata sijapark jiran yangu kafungua get sikuamin macho yangu nahis kama pombe ilikata

Japo nilikuwa nimewasha bim light tu macho yaliweza tambua vitu vya ajabu ajabu mbele yangu, Jiran alikuwa na kinguo mithil ya khanga nazan ni part ya mtandio wa dera au kitu kama icho, ndan alikuwa na chupi tu, kwakweli nlijihis nywele kusisimka moyo kwenda mbio na kupata joto la ajabu na fraa ya ghafla

Niliingiza gari jiran akafunga gate tukasalimiana hapo akanipatia funguo zangu, kidogo nlimtania kwa kumsifia tukacheka kila mtu akaingia kulala

Wadau hapa nifanyeje maana nimeingia ndani nahis kama nina mchecheto flan amazing sijielewi elewi flan sijui ni ushamba ama laa,

Toa maoni huyu jirani nimfanyeje mdada kaumbika hatar hatar
Ushamba ndo ulionao mkuu,kweni hapo kuna nn je angekuwa hana chupi harafu wakat anakupa funguo kamtandio alikojifunga kanadondoka na kubaki kama alivyozaliwa ungefanyaje?
 
Ushamba ndo ulionao mkuu,kweni hapo kuna nn je angekuwa hana chupi harafu wakat anakupa funguo kamtandio alikojifunga kanadondoka na kubaki kama alivyozaliwa ungefanyaje?

Ungeliwa tu hakuna namna
 
755303118a00920d055ee3e174ea09c1.jpg
 
Ha ha ha . nimeichelewa hii thread . . .
We jamaa ulikua na pombe kichwani.
Hats ukinywa pombe miaka mingapi MTU ukilewa lazima akili zitakuja ma mambo mengine. We we labda subconsciously ulikuwa ukimtamani huyu dem so pombe ikarahisisha kuweka hilo akilini
 
Ha ha ha . nimeichelewa hii thread . . .
We jamaa ulikua na pombe kichwani.
Hats ukinywa pombe miaka mingapi MTU ukilewa lazima akili zitakuja ma mambo mengine. We we labda subconsciously ulikuwa ukimtamani huyu dem so pombe ikarahisisha kuweka hilo akilini

Sasa ndio umekuja speed kiasi hiko nakunisingizia direct kwamba nlishakuwa nikimzimia asee we jamaa
 
sasa hapo ushauriwe nini mkuu?au unataka tukushauri umgegede?
 
Mkuu mwambie hivi unaenda kupombeka tena Ijumaa hii. Utamtext ili akufungulie gate kisha umuombe avae hicho kinguo kilichokupagawisha mithili ya kanga na ndani atupie picchu. Kisha usisahau kutuletea mrejesho mkuu. Picha ya hicho kinguo na picchu ikionekana itakuwa poa sana ili nasi hapa jamvini tusisimke nywele na mioyo kwenda mwendo kasi. Kila la heri Mkuu.
Hahaaa..Dude!
Clever bastard! Hiyo unauwa bila kusema neno nakupenda. Why put more effort on chasing your own chicken? Mkuu nisamehe kutumia neno bastard simaanishi hivyo.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hama hiyo nyumba haraka hawa akina Eva sio wakuamin sana haswa unapokua karibu nao kwa kiasi hicho.
 
Hahaaa..Dude!
Clever bastard! Hiyo unauwa bila kusema neno nakupenda. Why put more effort on chasing your own chicken? Mkuu nisamehe kutumia neno bastard simaanishi hivyo.

I am responsible for my expenses, and you're responsible for yours. just liked it
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom