Jirani yangu engineer Peter

Jirani yangu engineer Peter

Huo ndo ubaya wa kumtafutia mke mtt wako.
 
Makosa yalianza kwa mama Peter kumtafutia mwana mchumba
Na Peter anajaribu kulitatua tatizo kwa kuongeza makosa.
Anyway nipatie namba za mke wa pita na mimi ni Genius pia, nakuhakikishia hautapita mwaka mtoto wa Peter ataanzisha kiwanda.[emoji40]
 
Mama Peter alikosea kumtafutia mwanae mchumba. Lakini na li Peter nalo ndio lilikosea zaidi kwa kukubaliana na Mama yake, ingebidi likatae kata kata.
 
Back
Top Bottom