Jirani yangu anawamaliza jamani...

Jirani yangu anawamaliza jamani...

Bila kufanya kazi kwa bidii kuimarisha familia yako na ku-meet mahitaji ya mtoto wako wa kike utaumia mpaka utakapoenda kaburini. Jenga maadili mazuri na watimizie mahitaji yao. Sasa mzazi mtoto kavunja ungo hujawahi hata kuhangaika ujue pedi anapata wapi, hujui mafuta ya kupaka anapata wapi, unanyamaza tu harafu unataka kugombana na wanaompa kweli hiyo???? Harafiu wengi wao wala msihangaike nao ni wale wanaojiuza, nendeni dodoma mkawaone akina waziri nanihii na vitoto vilivyojaaa, kamna exposure tu ya mambo haya.

Nimeogopa sana coment yako. Mzee kaijulize kijijini urejee jukwaani.
 
yah! mwanzoni nilisema jirani ni kweli yaani jirani yangu wa karibu sana yaani mpangaji wetu!

na una uhakika gani kwamba ana UKIMWI, na pia una uhakika gani kama hatumii condom. Kwa hiyo kama ni jirani yako ina maana anapofanya tendo la ndoa wewe unapiga chabo au?
 
Back
Top Bottom