Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,723
Habari MMU!
Mwenzenu nakerwa sana na tabia ya jirani yangu! kwa kuwa yeye ameathirika basi anataka mtaani na nje ya mtaa wawe kama yeye (mwehu sana!)
nimemchana laivu kuhusu tabia yake mbaya (ashindwe kabisa) ya kutembea na mabinti tofauti tena wazuri hadi mimi nawatamani (hisia tu jamani) kila siku ila hanielewi.
Sasa juzi katembea na katoto cha watu darasa la sita tena ni kazuri sana hofu katika afya yake!
Nimfanyaje huyu mtu atawamaliza warembo wetu...
Mkuu huyo ni kum-report polisi fasta.Sijui sheria inasemaje kuhusu kuhusu mtu anayeambukiza UKIMWI makusudi labda wajuzi wa sheria watujuze.