kingkimwe
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 1,966
- 2,634
M
Mmh watu waswahili sanaa aiseeKatika hali ambayo sikutaraji kbsaa ni hiki kitendo cha kunyimwa maji ya kujengea
Nimemaliza karibia material karibia zote za kujengea nyumbani kwake na bila wasi wasi, sas ilipowadia kipindi cha kuseti msingi jmaaa akanijeuka mazima wakati nimemuambia nitalipia bill yote itakayo jitokezaa kwa muda wa week tu jamaaaa amegoma mazima anadai watoto wamegoma ktk hili jambo
Sasa najiuliza kutakuwa na u Jirani mwema kwa baadae ktk hali kama hii kwel
Chuki na wivu imetawla naona