Jirani huyu kiboko

Tutafika mbinguni tukiwa tumechoka sana.
 
Mwanzo umeelezea vizuri kuhusu ujirani, mwenzio anaitumia vizuri iyo dhana ya majirani kusaidiana. Na bahati nzuri msaada hauna mipaka et Leo ukitoa chumvi kesho usitoe jero.

Hua mnaishia kusema tu ujirani ni kusaidiana, ndohuko sasa inabidi ukomae.

Ningekuwa Mimi ningehitaji kujua kwann iyo familia wanakosa mahitaji muhimu, nikishajua basi natumia iyo dhana ya ujirani mwema kuhamasisha majirani wengine kwa pamoja tushirikiane kuwawezesha iyo familia ili iweze kujitegemea. Labda kumsaidia kimtaji mama wa familia n.k
 
Yeye muombe papuchi!
Ataingia mitini.
 
[emoji848][emoji848]
 
hiyo kazi yai mjumbe wa nyumba 10 aisee
 
Mkuu sijui ni wenge, nikaona kama umeweka t katikati ya u na o, waha nishtuke. anyway anaweza tu sio mbaya!!
🤣🤣🤣 Mkuu unawaza mbali sana au afanye hivyo kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…