Kuna wanaume pia hufanya hivo kitanda anacholala na mke ndio hicho hicho analala na mahawaraNajua wote wanaume kwa wanawake huchepuka, LAKINI kitu moja cha ADABU kwa wanaume ni kuwa, "HAWACHEPUKII KWENYE VITANDA VYAO VYA NDOA." Wanawake wana matatizo sana, akili zao zina matatizo kiasi cha kuchepukia kwenye kitanda cha ndoa.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Bado "Fuji" zinaendelea?[emoji1] [emoji1]
Mngoni uminifurahishi kwelkwel.. kwani zili fuji ziliishi sa ngapii?? Au zilindelee mpak keshu yaki lukela..?? Na ulipukosa kulala usiku uli ilikuwaji mchani waki..?? Hukulali kwel kwenyi majukumi yaku..??
Hahaha Ngalikihinja wewe mbayaMngoni uminifurahishi kwelkwel.. kwani zili fuji ziliishi sa ngapii?? Au zilindelee mpak keshu yaki lukela..?? Na ulipukosa kulala usiku uli ilikuwaji mchani waki..?? Hukulali kwel kwenyi majukumi yaku..??
Ni kweli uyasemayo, lakini matukio karibia yote ya kuchepukia kitandani mwa ndoa huwa nasikia ni wanawake!Kuna wanaume pia hufanya hivo kitanda anacholala na mke ndio hicho hicho analala na mahawara
So ni tabia tu haijalishi jinsia