KORBOTO
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 1,848
- 2,447
Yaani usiku hatujalala na hadi asubuhi hii ni Fujo na makelele.Jirani ambaye ni bosi wa Tra amemfuma live mkewe akigegedwa tena kitandani kwao na dereva wake.
miss chagga kuna jamaaa huku kagongewa kisa hajaacha kodi ya meza