Amenunua kesi ya bure kabisaaaaaaaa atakua CYBERTEQ yuko kwa nani sijui tinna cute
Ongeza juhudi za maombi dear wangu, hapa tuko chini ya bahari tunajadiliana tutaibukaje asee...dah!
Eeh makubwa tena!
Hiki ki mimba kilivyokuchukia natamani upotelee huko huko,,,,,, kimempenda Elli kila saa namuwaza.
Lol Mungu anipe nini tena mie??? Hakuna raha kama kulea mimba isiyo yako