Jipu: Wahindi waanza kubadilisha vyeo

Jipu: Wahindi waanza kubadilisha vyeo

P. Majaribu

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2014
Posts
1,192
Reaction score
625
Baada ya operation kali inayoendelea nchi nzima kwa sasa, hawa jamaa kutoka India ujanja wanaoutumia wakidhani watabaki salama ni kubadilisha title za vyeo walivyokuwa wanahodhi kwa muda mrefu, huku wakiwaacha wazawa wakiambulia kazi kama vibarua. Kwa mfano unakuta muhindi alikuwa procurement manager kazi inayoweza kufanywa na mzawa wa kawaida kabisa, leo hii anajifanya ni Procurement consultant.

Hii ni kuichezea serikali yetu, tunaomba mamlaka husika iliangalie hili kwa kina, kwa kuzingatia sheria zilizopo.
 
Udanganyifu ni mkubwa sana. Mara nyingine wanatumia gear ya volunteer lakini wanafanya kazi za ajira na wanalipwa mshahara kwa siri. Yaani utakuta anayeitwa volunteer anapower kuliko manager au HR. Uonevu huu ukome haraka.
 
Waende na pale equity bank, nako Kuna vijipu
 
naamini idara ya uhamiaji imeshajisafisha yenyewe kwanza, maana vinginevyo watakuwa wanatwanga maji kwenye kinu.

Umeongea jambo la muhimu sana baadhi ya watumishi wa uamiaji sio waadilifu bado wanaonekana wakiranda-randa kwenye viwanda na maofisi kuchukua rushwa za mwisho-mwisho. Wakome haraka la sivyo tutaanza kuwataja kwa majina.
 
Nchi hii tunamajipu kila idara.
 
Nchi hii tunamajipu kila idara.

Leo mhindi ni General Manager anakataa cheo chake anajiita Project Manager.Hata kwenye emails zao wamefuta vyeo vyao vya awali ili wasitambulike kama wanafanya kazi zinazoweza kufanywa na wazawa.Wahusika chukueni hatua msisikilize habari za consultants wala ulaghai wa kusimamia projects za kipindi kifupi.
 
Tatizo kubwa la wahindi ni UBAGUZI.Ni wabaguzi sana hawa watu.Ni wengi wao ni wa kutimua tu hapa nchini,ni wale wenye ulazima ndio wanaotakiwa kubaki lakini nao waangaliwe kwa jicho la tatu.NA wachina halikadhalika nao ni wabaguzi na ni majeuri.Fukuza wate wasio na ulazima.Lakini ili suala hili lifanikiwe hakuna budi KUFUMUA IDARA YA UHAMIAJI na KUTIMUA baadhi ya watendaji waliotufikisha hapa.
 
HAKUNA MTU MBAGUZI KAMA MWAFRIKA HASA MTANZANIA TRUST ME SEMA HAJAPATA TU UWEZO MKUBWA KIUCHUMI YAANI WATU WASINGEKUNYWA MAJI
 
Immigration wanakula rushwa sana katika kutoa hivi vibali..nadhani Magufuli angeanza nao kwanza, ...
 
Tatizo kubwa la wahindi ni UBAGUZI.Ni wabaguzi sana hawa watu.Ni wengi wao ni wa kutimua tu hapa nchini,ni wale wenye ulazima ndio wanaotakiwa kubaki lakini nao waangaliwe kwa jicho la tatu.NA wachina halikadhalika nao ni wabaguzi na ni majeuri.Fukuza wate wasio na ulazima.Lakini ili suala hili lifanikiwe hakuna budi KUFUMUA IDARA YA UHAMIAJI na KUTIMUA baadhi ya watendaji waliotufikisha hapa.
. kweli kabisa mkuu, na inabidi tusiishie kuchangia tu humu JF,
Sasa ni wakati wa kuingia huko huko viwandani na mashuleni.
 
Mbona kwetu hawajafika? Jamaa wamejiachia hawana wasiwasi wowote au ndo washawapooza?
 
Zoezi hili ni gum kama hatutaiunga mkono serikali.
Arusha kuna kitu kinaitwa Culture heritage, kimejaza wahindi wanachonga vinyago vya kuuza kwa watalii na kusafirisha nje ya nje kibaya zaidi wanavidrill/ kupekecha na kutumia kusafirishia tanzanite kwenda india na kwingineko.
Wamakonde wasingeweza kuajiriwa?
Kuna madudu mengi ya wageni huku, wamejaa wakenya wanafanya kazi za hotel management,,,watz hawawezi?
Kuna wazungu wanajifanya wanajenga mahotel lakini tayari yanalaza watu na kutumia kama camp site, halipi chochote serikalini na wanawanyima wageni wenye hotel wanaolipa kodi.
Nashauri serikali ifungue web itakayotumika kupokea taarifa ya wageni haramu au namba za simu
 
Wahindi ndo waliipa ccm pesa za kuchakachua uchaguzi.. wapigwe tuu.. washenzi sana hawa jamaa, wanajiona kama class ya juu kumbe hopeless kabisa
 
Back
Top Bottom