Pancras Suday JF-Expert Member Jun 24, 2011 8,141 3,834 Apr 10, 2016 #2 Hilo jibu la mwisho hata mimi nimewahi kutumbuliwa ila nilipiga ganzi!
habari ya hapa JF-Expert Member Dec 20, 2012 12,791 8,743 Apr 10, 2016 #5 Mwisho Wa siku mungu atalitumbua
Wonderful JF-Expert Member Apr 8, 2015 7,347 5,985 Apr 10, 2016 #7 Joseph Tunu said: Sijaelewa jipu liko wapi hapo? Click to expand... Kakojoe ulale dogo....
Red Scorpion JF-Expert Member Feb 1, 2012 5,736 4,252 Apr 10, 2016 #10 Wonderful said: Kakojoe ulale dogo.... Click to expand... Hatariiiii
Y ydn JF-Expert Member Nov 24, 2015 2,092 1,409 Apr 10, 2016 #11 Wanawake ni kama matunda na kila tunda linautamu wake, tatizo wanaume wanapenda saladi!!!