Jipu Kuu

unapowaka humulika wahalifu,waovu na kuangaza bara zima la afrika kuwaona maadui. salam za mwenge ni ujumbe wa kiserikali kwa wananchi. kutambua muitikio wa watu kwa serikali, kuweka mawe ya msingi kwenye majengo ya serikali na kufungua mengine. nk
 
Unamulika bara zima la Afrika...sio kweli mkuu. Yaani unamulika Bujumbura, Unamulika Somalia? Haupo serious mkuu
 
inaelekea wewe umezaliwa juzi!! enzi zetu ulimulika kote, msumbiji,angola,zimbabwe,s.a, kooote mpaka jamhuri ya sahara magharibi!
 
Faida 5? Ngoja nijaribu
1. Kueneza ukimwi Wakati wa mkesho
2. Kupoteza muda kwa watumishi
3. Kupoteza hela
4. Kuamasisha dini ya mashetani na moto ule
5. Kuanzisha mahusiano mapya ya mapenzi baina ya watumishi
 
Veri Naisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…