Jipu katika kijiji cha Kimele

dhk1

JF-Expert Member
Jul 22, 2013
923
548
Wadau salamu kwa wote,

Rejea kichwa cha habari,

Mwenyekiti wa kijiji cha Kimele amekuwa jipu lililoiva. Ni hivi huku kuliletwa mradi wa umeme ambapo mwisho ilikuwa tareh 26 feb uwe umekamilika, ila hadi saivi vijiji vinavyotuzunguka wameshakamilisha imebaki Kimele tu.

Kinachosikitisha ni mwenyekiti wetu yeye hana habari kakalia tu kuuza viwanja anadai kama tunataka umeme tumpe nauli ya kwenda Bagamoyo.

Naomba wahusika mje mtusaidie huku hali mbaya.
 
Back
Top Bottom