nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,685
- Thread starter
- #21
naomba hicho cha mikataba ya kishetani.
Nitakupata vipi?
naomba hicho cha mikataba ya kishetani.
lol....
Nikiagiza mtu je?
Siku utapotoa Zawadi ya Ushindi, Pesa zako zinanuka na Mikononi mwa Nunda nitakuwa wa kwanza kununua
sitaki.
sasa ivi nina aina tatu tu, MIKATABA YA KISHETANI, ROHO YA PAKA NA NAJISIKIA KUUA TENA. Tunavitoa taratibu taratibu.
Nataka vile vya Willy Gamba.
Nitakuja Mlimani City kupata nakala zangu.
Asante.
Hivyo vya msiba kuna mpango wowote wa kuvitafuta tukavipata kwako ?
Ntakutafuta mkuu
Vya Amri Bawji vinapatikana?
Kinondoni sehemu gani?Hivi jaribu kuchek na Kaka Hussein Tuwa, anaweza kuwa navyo dukani kwake kinondoni.