Okey,bei yake ni sh 15,000
Nauza T-shirt za size mbalimbali; ainabalimbali kwa bei ya round T-shirt in 10;000 na polo T-shirt ni 17000. Popote ulipo mzigo unakufikia
Cc: ladyfurahia
Anaehitaji tuonane pm pls,uniambie uko wapi unataka ngapi ya bei gani na rangi gani kati yahizo?
Mi nataka skafu sijui mtandio wa cdm...wapi napata??
Tukutane kesho makao makuu ya chadema wakati tunamsindikiza Lowasa kuchukua form. 0682 338065