Jipatie tishet yako ya UKAWA

Jipatie tishet yako ya UKAWA

Status
Not open for further replies.
Nauza T-shirt za size mbalimbali; ainabalimbali kwa bei ya round T-shirt in 10;000 na polo T-shirt ni 17000. Popote ulipo mzigo unakufikia

Cc😡Ladyfurahia

Mkuu saf ila nashaur ktk picha wawepo wenyevit wote wa UKAWA itapendeza zaid kuliko kuweka baadhi.
 
Mkuu nataka kama hii:
 

Attachments

  • 1438198674334.jpg
    1438198674334.jpg
    9.5 KB · Views: 405
Nauza T-shirt za size mbalimbali; ainabalimbali kwa bei ya round T-shirt in 10;000 na polo T-shirt ni 17000. Popote ulipo mzigo unakufikia

Cc😡Ladyfurahia

Duh!!....kumbe wewe ni mkali kiasi hiki!!!
 
Tukutane kesho makao makuu ya chadema wakati tunamsindikiza Lowasa kuchukua form. 0682 338065
 
nmecheka sana, maandishi kaweka na nini?? adobe,, haahahaaaaa adobe reader kwenye t shirt haaaaaahaaaaaaaa

Hivi unajua hata unachokicheka?
Naona kama hujaelewa issue then unakua unajicheka mwenyewe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom